Wabunge wasio wasomi i e:Babalevo wana maana kubwa kuliko wabunge wasomi i.e:kimei

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Je tangu mmekuwa na bunge la wasomi limewasaidia nini ktk maendeleo yenu kwa mmojammoja au kwa ujumla?

Tatizo la waTanzania ni majungu na uropokaji pasipo kuwa na tija mtu amekaa tu mtaani chini ya mti hana mbele wala nyumba watu wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi badae wanapita yeye anaanza kutukana aliyepita hajasoma hafai sasa kwanini wewe hukugombea hata uenyekiti wewe uliyesoma?

Pumbavu,mnalalamika wabunge wasio wasomi hawawezi kutunga sheria je, wabunge hao wasomi wenu wametunga sheria ngapi nzuri?mbona mnalalamikia bunge ktk kila jambo?

Uongozi haungalii elimu uliyonayo ingekuwa hivyo ambao hawajasoma wasingekuwa na familia bora kuliko waliosoma,jitoeni ufahamu tu iko siku mtachutama bunge lote litakapokuwa na darasa la saba tupu baada ya wananchi kuwakataa wasomi wenu
 
Tatizo la Tanzania ni Wahuni kushika hatamu.
Mifumo yote inapigwa ganzi, si mahakama, vyombo vya habari/ulimzi, serikali na bunge. Mpaka mtaani wanazalishwa machawa!
 
Hao ndio wanawaza kuongeza kodi kwenye magari ili waagize dawa za Ukimwi na si kufikiri kuwa na kiwanda cha dawa za Ukimwi Tanzania kama walivyofanya Zimbabwe miaka mingi nyuma Elimu ya Zim ipo tofauti na wasaka nyoka wa Tanzania.
 
Hii ndio ile Wazungu wanaita -Inferiority complex..KASOME na wewe!
 
Wanaojiita wasomi na wengine wote sawa ,sijaona msomi mwenye tija zaidi ya kuvaa suti ..Kila mwananchi ana haki ya kugombea ilo kuwakilisha watu wake ...
Baba levo ni haki yake ,alishawahi kuwa diwani huko.
 
Je tangu mmekuwa na bunge la wasomi limewasaidia nini ktk maendeleo yenu kwa mmojammoja au kwa ujumla?

Tatizo la waTanzania ni majungu na uropokaji pasipo kuwa na tija mtu amekaa tu mtaani chini ya mti hana mbele wala nyumba watu wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi badae wanapita yeye anaanza kutukana aliyepita hajasoma hafai sasa kwanini wewe hukugombea hata uenyekiti wewe uliyesoma?

Pumbavu,mnalalamika wabunge wasio wasomi hawawezi kutunga sheria je, wabunge hao wasomi wenu wametunga sheria ngapi nzuri?mbona mnalalamikia bunge ktk kila jambo?

Uongozi haungalii elimu uliyonayo ingekuwa hivyo ambao hawajasoma wasingekuwa na familia bora kuliko waliosoma,jitoeni ufahamu tu iko siku mtachutama bunge lote litakapokuwa na darasa la saba tupu baada ya wananchi kuwakataa wasomi wenu
Baba levo gani.! Huyuhuyu mtanzania kutoka kigoma.! Eeh naona mnataka kuiua nchi Yetu wandugu..
 
Hawa ndio wakapitie mikaba ya uwekezaji na miswada ya sheria? Kwa tulipofikia sasa hivi hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi
Hiyo mikataba na miswada waliyopitia waliokuwepo wasomi imeleta toja gani?tatizo ni uninga kuwa mwenye elimu au hela ndiyo anajua kila kitu ingekuwa hivyo basi wasiosoma na masikini wangekwosha duniani.

Hao kina Ndalichako,selukamba,premji,kaburu,mpango,nk wananini kumshinda Babalevo?
 
Hao ndio wanawaza kuongeza kodi kwenye magari ili waagize dawa za Ukimwi na si kufikiri kuwa na kiwanda cha dawa za Ukimwi Tanzania kama walivyofanya Zimbabwe miaka mingi nyuma Elimu ya Zim ipo tofauti na wasaka nyoka wa Tanzania.
Hamia Zimbabwe kenge wewe,ulitaka Babalevo ndiyo ajenge kiwanda hicho leo??
 
Hauna shule ndio maana upo busy unatukana watu JF...Elimu ni tatizo
Haya wewe mwenye shule usiye jf na usiyetukana watu jf upo busy na nini??

Tatizo mkiambiwa ukweli mnadai mmetukanwa sasa wewe kwa michango yako au akili yako siyo kenge au mbwa?unataka tukusifie kuwa una akili wakati huna akili?nenda kaimbe mapambio makanisani kusifia ujinga wako siyo humu jf,utakula chuma tu!!
 
Je tangu mmekuwa na bunge la wasomi limewasaidia nini ktk maendeleo yenu kwa mmojammoja au kwa ujumla?

Tatizo la waTanzania ni majungu na uropokaji pasipo kuwa na tija mtu amekaa tu mtaani chini ya mti hana mbele wala nyumba watu wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi badae wanapita yeye anaanza kutukana aliyepita hajasoma hafai sasa kwanini wewe hukugombea hata uenyekiti wewe uliyesoma?

Pumbavu,mnalalamika wabunge wasio wasomi hawawezi kutunga sheria je, wabunge hao wasomi wenu wametunga sheria ngapi nzuri?mbona mnalalamikia bunge ktk kila jambo?

Uongozi haungalii elimu uliyonayo ingekuwa hivyo ambao hawajasoma wasingekuwa na familia bora kuliko waliosoma,jitoeni ufahamu tu iko siku mtachutama bunge lote litakapokuwa na darasa la saba tupu baada ya wananchi kuwakataa wasomi wenu
📌✍️
 
Yani Jitu halijasoma, Ila linawakilisha mawazo ya Wasiosoma 20% na Waliosoma 80%. Haya ni maajabu ya Tz.

Kwanza Form four failure, kazi yenu tunai iona mpaka sasa kutoka kwa Raia na. 1
 
Haya wewe mwenye shule usiye jf na usiyetukana watu jf upo busy na nini??

Tatizo mkiambiwa ukweli mnadai mmetukanwa sasa wewe kwa michango yako au akili yako siyo kenge au mbwa?unataka tukusifie kuwa una akili wakati huna akili?nenda kaimbe mapambio makanisani kusifia ujinga wako siyo humu jf,utakula chuma tu!!
Umekosa Elimu na malezi bora na una maisha duni yanachangia kuchukia watu bila sababu aisee..punguza stress hizo mazee zisizo na sababu.
 
Back
Top Bottom