Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 183
nashangaa huyu jamaa sijui kwa nini wamempa ubunge!
Kuna mweny cv yake..?
Tabia zao niMi naomba kujua grounds za kutotaka kurudi kwa kila aliyetajwa hapo juu
Kama kutakuwana sababu za msingi na zikawaridhisha wananchi itakuwa vyema.
Kama wamekuwa Mr, Miss or Mrs Yes's wanastahili kutolewa nje kabisa ya mfumo wa bunge kwa namna yoyote ile.
wengine niJoseph Mbilinyi, Esther Matiku, Wenje, Saturnbless Lema, Mchungaji wa Iringa..........................
naona nitoe sababu kabisa:wengine ni
Mbowe
Zitto
Mdee
Lisu
na roho yangu itaponaSema neno tu.
Tungeweza kuunganisha majimbo hadi yabaki 70 ningefurahi sana, weengine ni kujaza vyoo tu pale dodoma
pia mawaziri wote hawatakiwi kuwa wabunge

naona nitoe sababu kabisa:

Mbowe-huwa hahudhurii vikao vya bunge mpaka awe na kitu fulani ambacho ana interest nacho

Zitto-kigeugeu hana sifa za kuwa kiongozi

Mdee-anatumia sana lugha chafu na za kihuni bungeni mfano 'weka chini mkalio yako, njuka'

Lissu- kwanza ni mtovu wa nidhamu, pili anajiona yeye ndio mbunge bora kuliko wengine kama alivyo shushuliwa na Eng. Stella Manyanya kwenye mdahalo wa Lissu na Ndugai
Amepona kwanza!maana inasemekana yu mgonjwa sanaSolomoni Jeremiah Sumari aliyekua naibu waziri wa fedha bunge la kumi

ni mbunge wa arumeru mashariki hafa hafai hafai kabisaaaa