Elections 2010 Wabunge wasiotakiwa kurudi bungeni 2015

Mi naomba kujua grounds za kutotaka kurudi kwa kila aliyetajwa hapo juu
Kama kutakuwana sababu za msingi na zikawaridhisha wananchi itakuwa vyema.
Kama wamekuwa Mr, Miss or Mrs Yes's wanastahili kutolewa nje kabisa ya mfumo wa bunge kwa namna yoyote ile.

Tabia zao ni
1. Unafiki
2. Kuwa watetezi wa serikali badala ya wananchi
3. Kuchapa usingizi bungeni
4. Tabia kuzomea bila sababu
5. Kuunga hoja 100% hata za kiuhuni.
Na mengine yafananayo na hayo.

wengine ni
Mbowe
Zitto
Mdee
Lisu
naona nitoe sababu kabisa:
Mbowe-huwa hahudhurii vikao vya bunge mpaka awe na kitu fulani ambacho ana interest nacho
Zitto-kigeugeu hana sifa za kuwa kiongozi
Mdee-anatumia sana lugha chafu na za kihuni bungeni mfano 'weka chini mkalio yako, njuka'
Lissu- kwanza ni mtovu wa nidhamu, pili anajiona yeye ndio mbunge bora kuliko wengine kama alivyo shushuliwa na Eng. Stella Manyanya kwenye mdahalo wa Lissu na Ndugai

Deo Sanga(Jah People) Njombe Kaskazini,Lwenge(Njombe Magharibi) Anna Makinda na Mbunge wa Mtera then Viti maalumu vyoote tena sio kutorudi tu bali vifutwe kabisa

Wabunge wote wa Mufindi kasikazini na kusini,Wana JF naomba tusaidiane hawa wabunge hawana mchango wowote bungeni wapo kimya as if wapo darasani wanafundishwa.

Solomoni Jeremiah Sumari aliyekua naibu waziri wa fedha bunge la kumi
ni mbunge wa arumeru mashariki hafa hafai hafai kabisaaaa

Hivi huyu yupo ? maana hajaonekana kabisa bungeni.

Tungeweza kuunganisha majimbo hadi yabaki 70 ningefurahi sana, weengine ni kujaza vyoo tu pale dodoma

pia mawaziri wote hawatakiwi kuwa wabunge

Serikali ina mpango wa kugawa majimbo yaliyopo mara mbili ili idadi ya majimbo ya CCM yaongezeke.

naona nitoe sababu kabisa:

Mbowe-huwa hahudhurii vikao vya bunge mpaka awe na kitu fulani ambacho ana interest nacho

Zitto-kigeugeu hana sifa za kuwa kiongozi

Mdee-anatumia sana lugha chafu na za kihuni bungeni mfano 'weka chini mkalio yako, njuka'

Lissu- kwanza ni mtovu wa nidhamu, pili anajiona yeye ndio mbunge bora kuliko wengine kama alivyo shushuliwa na Eng. Stella Manyanya kwenye mdahalo wa Lissu na Ndugai

mmmh napita ntarudi baadaee

Solomoni Jeremiah Sumari aliyekua naibu waziri wa fedha bunge la kumi

ni mbunge wa arumeru mashariki hafa hafai hafai kabisaaaa
Amepona kwanza!maana inasemekana yu mgonjwa sana

Back
Top Bottom