Elections 2010 Wabunge wasiotakiwa kurudi bungeni 2015

Elections 2010 Wabunge wasiotakiwa kurudi bungeni 2015

Samwel Sitta
Shibudha
Dr Kingwangwala
Deo fulunjombe
Wasira
Komba
Lukuvi
Lusinde
Mrema
Job Ndugai
Viti maalum wote wa CCM
Chibulunje
Wabunge wote wa CCM toka Singida
Nyambari Nyangwine

waongezee wengine

Nimependa hapo kwenye red yani toka nchi hii ipate uhuru Mkoa wa singida umepata mbunge mmoja tu Tundu Lisu miaka mingine yote hapakuwa na wabunge.
 
Na yule mwenye sauti ya kukoroma ANAJIJUA MWENYEWE SIMTAJI Ila ni busara tu ya KAWAIDA ukiishaolewa unahamia kwa mumeo ndo mana hata jina la mume umeliongeza au wongo ??? ulikuwa nalo zamani ???? nenda kagombee huko kwenye lenye chanzo cha umeme kama utapata THUBUTUUUUUUUU !!!!!!!!!!! utakiweza kiba?????????? mlamua anaujua moto wake ulimshinda.. Ya matokajua waachie wa matokajua.
 
Hana cv yoyote ameishia darasa la nne ni mganga wa jadi wa kitapeli mfano wake ni Kama waganga wengi walio ibuka dar siku za karibuni wana ibia watu kwa kiini macho, yeye uganga wake hufanyia Nairobi ila kwa sasa wame mshitukia alifanya utapeli kwa Familia moja Nairobi kwa jamaa anaitwa gershoni kirima ambae amefariki miezi michache iliyo pita huyu jamaa ali wahi kua waziri, meya jiji Nairobi na bunge wa eneo bunge la starehe Nrb hivyo alijilimbikizia itakiri wakutupa, majimarefu aka mwingilia kisanii akafanikiwa kutapeli mali nyingi sana za huyo mzee lakini watoto wa huyo mzee waliingilia kati kujaribu kuokoa mali za baba yao hivyo kuna Kesi mahakamani ina endelea nchini Kenya . Habari ndio hiyo
 
Samwel Sitta
Shibudha
Dr Kingwangwala
Deo fulunjombe
Wasira
Komba
Lukuvi
Lusinde
Mrema
Job Ndugai
Viti maalum wote wa CCM
Chibulunje
Wabunge wote wa CCM toka Singida
Nyambari Nyangwine

waongezee wengine
wote sawa WHY RED naona anajitaidi sana kwa sasa

mimi hawa
hapa
CHAMBILI wa babati
stella manyanya (must be out lol)
wa ludewa
wa UKONGA
WA SEGEREA
CHENGE
CCM wanawake wote kasoro bibi kirobo nina sababu
 
Na yule mwenye sauti ya kukoroma ANAJIJUA MWENYEWE SIMTAJI Ila ni busara tu ya KAWAIDA ukiishaolewa unahamia kwa mumeo ndo mana hata jina la mume umeliongeza au wongo ??? ulikuwa nalo zamani ???? nenda kagombee huko kwenye lenye chanzo cha umeme kama utapata THUBUTUUUUUUUU !!!!!!!!!!! utakiweza kiba?????????? mlamua anaujua moto wake ulimshinda.. Ya matokajua waachie wa matokajua.
<br />
<br />

Mh! Mbona kama mipasho?
 
Samwel Sitta
Shibudha
Dr Kingwangwala
Deo fulunjombe
Wasira
Komba
Lukuvi
Lusinde
Mrema
Job Ndugai
Viti maalum wote wa CCM
Chibulunje
Wabunge wote wa CCM toka Singida
Nyambari Nyangwine

waongezee wengine


Ngeleja umemsahau nawakati ndiye kimeo bungeni??????
 
Samwel Sitta
Shibudha
Dr Kingwangwala
Deo fulunjombe
Wasira
Komba
Lukuvi
Lusinde
Mrema
Job Ndugai
Viti maalum wote wa CCM
Chibulunje
Wabunge wote wa CCM toka Singida
Nyambari Nyangwine

waongezee wengine
wale akina christine lissu, mke wa slaa (rose kamili), watoto na wakwe wa ndesamburo na mademu zake akina mbowe ndo unawaona wamaana sana siyo.
 
Futa viti maalumu vyote...., Punguza majimbo, tunahitaji wabunge si zaidi ya mia moja..., hapo hata wakiendelea kufuja pesa zetu kwa maposho hatutaumia sana 🙁
 
viti maalumu vyote chinjilia baharini. wanatutia hasara tu. hawa wakuchaguliwa mimi sina shida nao kwani wameaminiwa na wanajimbo wao hata kama ni chenge na lowasa. acha walazweeeee mapaka hapo watakaposhituka wenyewe.
 
CCM wote (labda magufuli), na viti maalum wote hasa wavaa vikuku wa ccm!
 
Said Nkumba,J.Komba,A.Zungu,M.Pinda,J.Maghembe,A.L.Mrema,J.Ndugai
 
Back
Top Bottom