Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu wa Pwani:
Kule Chukwani kwenye kambi ya Jeshi ipo Gongo nzuri sana.... Then unakunywa pasipo bughuza yoyote...
Ghuba napo ni moto katika vilabu vya Gongo...
Mtu wa Pwani:
Kule Chukwani kwenye kambi ya Jeshi ipo Gongo nzuri sana.... Then unakunywa pasipo bughuza yoyote...
Ghuba napo ni moto katika vilabu vya Gongo...
Labda Tende......kamanda vp kwani unatumia wewe hii kitu?
..jamaa ananipakazia, mi sinywi "mbuksa" ya aina yoyote, hicho "chombo" a.k.a gongo ndio sigusi kabsaaaa..........ila nasikia wewe NN unazimia sana "ukuti" na "nibo"!!!
nasikia kuna aina moja ya pombe inaitwa PINGU ukinywa hiyo lazima ufunge suruali chini kwenye ugoko la sivyo.....!!
Walevi wa gongo utawajua tu.....
Labda Tende......