Wabunge Wataka Gongo Ihalalishwe!

Tnde Kama Pommbe Au Kama Tende Za Uarabuni Yakhe???????????nifumbue Macho


yakhe mie sio mtumiaji so sijui taste yake ikoje,tusubiri wanywaji waje kujibu.


ENYI WANYWAJI WA TENDE NA GONGO HEBU NJOONI MTUPE TOFAUTI YA TENDE NA GONGO.​
 

Sasa huo utalaamu wote! Mbona Marmo amesema kuwa gongo inakatazwa kwa sababu inatengenezwa katika mazingira ya uchafu? Wala hakugusia masuala ya methanol na ethanol!
 



Uloyataja ni muhimu lakini na hili la gongo nalo si dogo kwani idadi ya watumiaji kwa sample ndogo niloifanya mtaani kwetu ni kuwa asilimia 40 ya wakazi wake ni wanywaji na kati yao asilimia 70 wanatumia gongo au pombe nyengine za kiengeji, sasa kama hivyo inaweza kuchukuliwa kama representation ya population utaona umuhimu wake kwa hivyo mimi naona hakuna ubaya wa kujadili gongo bungeni na wa mawazo yangu ni vizuri ikahalalishwa na wajasiria mali wakapata elimu ya kutengeneza kisasa kwa formula inayotakiwa na faida zake ni nyingi tu. wanywaji na watengenezaji ni Wtz wana haki ya kuangaliwa matatizo yao - hujui huyo mbunge alowakilisha hoja hii pengine wapiga kura wake wengi ni kutoka katika kundi hilo jee ? Usisnangae iko siku atasimama Mbunge kutetea biashara ya mwili na haina haja ya kumlaumu - kwa vyovyote vile ni watu katika jamii na wana haki ya kuwakilishwa.
 
Mutu Just For Ur Info:::::
Ile Suruali Ikifungwa ...ukizidiwa Wanifungua Wanchukua Ule Mmminiko Wanaurudisha Kwenye Jiko Chombo Kitakachotoka Hapo Babu Kubwa Ndio Maana Wanashauri Ukinywa Usiende Mbali Sana Na Uliponywea;;;;;
Hizi Ndio Pombe Za Kup


Duh mkuu hiyo kali tehe tehe ! hii kiboko hapana sikia ila nakubali inawezekana.
Ila isije kuwa mkuu unafurahisha baraza tu.
 
naam tende huliwa na hasusa bila ya hasusa hainogi, upo hapo kibunango na engineer m
 
Shabashi, mwenye $1M anapeta hawa tena ndani............

Kaaz kweli kweli!!

Msako wa polisi wanasa wawili
2008-04-15 17:59:57
Na Mwanaidi Swedi, Pwani

Watu wawili wanashikiliwa na Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kukutwa na pombe haramu ya gongo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Henry Salewi, amesema tukio hilo limetokea jana majira ya saa 5:30 asubuhi katika msako uliokuwa kwenye eneo la Sanza wilayani Bagamoyo.

Kamanda Salewi amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Mariam Shaban, 40, mkazi wa Majani Mapana na mwingine ni Wema Abdalah, 43 mkazi wa Kidongo Chekundu.

Kamanda Salewi amesema pombe hiyo ilikuwa kwenye madumu na kupakizwa kwenye pikipiki yenye namba za usajili T 732 ATN tayari kwa kusafirishwa.

Amesema kuwa pombe hiyo ilikuwa inasafirishwa kwenda Bagamoyo mjini.

Amesema watuhumiwa watafikishwa mahakamani wakati wowote ili kujibu tuhuma zinazowakabili.

SOURCE: Alasiri
 
pombe haramu ya gongo lakini pombe halali ya Vodka

wazee mnaona kiswahili hicho
 
Jamani huyu waziri anasubiri nini au amechngangyikiwa gongo yetu ikwapi au alalishe piwa basi ile ya kujifunga chini ukiarisha inabaki kwenye nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…