Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpango ule wa chukua chako mapemaWANAYOJADILI WABUNGE KWENYE GROUP LAO LEO KUTWA NZIMA.
Na Thadei Ole Mushi.
Wabunge wa CCM leo kwenye Group lao la kibunge wamejadili na kukusudia kupeleka hoja bungeni wapewe privilege ya magari yao kuwa na Special number...
Pia waeeza waita chukua chako mapema (ccm)CCM 😠😠😠😠😠...=CHANZO CHA MATATIZO
Hawa jamaa wapo kwenye sayari yao kabisaAnaandika Thadei Ole Mushi
Wabunge wa CCM leo kwenye Group lao la kibunge wamejadili na kukusudia kupeleka hoja bungeni wapewe privilege ya magari yao kuwa na Special numbe...
Tena ni majinga haswaPumbafu kabisa.
Tukubali tu uwezo wao umeishia hapo.Wabunge kwenye group siku nzima wanajadili kupewa Plate number Special wanaacha kubangua bongo wanaishauri vipi Serikali kutatua tatizo la mafuta ya kula na ya Petrol nchini ambayo yamepandisha vya kutosha maisha ya wananchi.
Ml 5 ndo bei kubwa kwa mwaka??Wakipewa special number basi ilipiwe bei kubwa kwa mwaka mfano zilipwe mil 5 kwa mwaka Serikali ipate mapato
Wanasiasa wote ni wahuni na wapigaji tu, pale ambapo raia wamelala usingizi.huyo JPM mnaemuita mzalendo kama amgekua mzalendo kweli angekataa huo upotevu wa fedha zote kwa wabunge,
nae alikua ni walewale hakuna lolote
wabunge 300+ wengine hata majimbo hawana, nchi limeoza hili jamani
Salute kijeshi ni Salam tu. Halafu watumishi wanaopjigiwa salute ni wale ambao teuzi zao ni za raisi mfano mbunge ambae ni waziri... Hio huonesha tu salamu yakuheshim mamlaka ilio mteua... Mbunge wa kawaida hawezi pigiwa salute na CDF sijui IGP...wapewe tu maana ni waheshimiwa! ukumbuke wanapigiwa saluti wakiwa eneo lao la kazi! hata CDF au IGP anampigia saluti mbunge akiwa eneo lake la kazi!
Hivi wabunge wa viti maalum na wale wa kuteuliwa malupulupu yao yanatofautiana kwa namna gani na wale wenye majimbo?Anaandika Thadei Ole Mushi
Wabunge wa CCM leo kwenye Group lao la kibunge wamejadili na kukusudia kupeleka hoja bungeni wapewe privilege ya magari yao kuwa na Special number...
Hakuna kitu kama hicho. Endelea kuota.Naiona CCM ikifia mikononi mwa Mh. Raisi Samia Suluhu Hassan
Faida yao ni kula pesa ya wanalipa kodiWamejisahau....
Wawakilishi ambao wanataka kuishi tofauti na wanaowawakilisha (They are out of Touch) In short sioni faida yao, bora wasingekuwepo