Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mama alishawapa ruksa ya kula wawezavyo.Wasakatonge
Wazungu wakisema hatuna akili, huwa wanakuwa na mifano hai, including hizi discussions za wabunge wetuWaafrika niwabinafsi sana ila Tanzania nivinara.
Hawajadili matozo na mfumuko wa bei wanajadili special number? Wanataka kuvusha madawa ya kulevya?
Tena wakaguliwe ipasavyo hao wasiachwe
Hakuna kitu kama hichoNdiyo maana huwa nakuwa wa mwisho ninaposikia wanasema wanawapambania wananchi.......
Ndio hivyo Mkuu, nchi hii ni mwendo wa chukua chako mapema.Dah kweli nimeamini wengi tunaishi Kama tupo motoni Kodi ni nyingi kila tukijipindua tunapigizwa ili wachache waishi Kama wapo pepon
Kwa utafiti wangu sasa hiv idadi ya vijana tunao shindia mlo mmoja ni kubwa sana mtaani, japo tunapambana lakin gharama za maisha ni kubwa balaa
mafuta ya kupikia hayashikiki, sukari juzi nilinunua 3,000 /kilo, kwenye luku nakatwa buku Kodi ya Jengo wakati nyumba si yangu
Kwa upandaji huu wa diesel&petrol muda si mrefu dona na mchele baadhi yetu tutashindww kuimudu pia.
Hata hivyo Mimi huwa siamini Kama Kuna uzalendo kila mtu anaangalia tumbo lake Kama wapinzan wangekua wazalendo wangezipigia kelel hizo posho za wabunge zipinguzwe maana huko ni kujilimbikizia malipo ila kwakua kila mtu anaangalia tumbo lake wakiingia hapo nao wanapiga kimya.
Ni kweli kabisa, ukiwa mbinafsi huwezi kua Mzalendo hata kidogo.Wazungu wakisema hatuna akili, huwa wanakuwa na mifano hai, including hizi discussions za wabunge wetu
Nawao hawafanyi bure kuna kitu wanapataHakuna kitu kama hicho
Nawashangaa wale wanaowapigania kwanza
Ova