Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
Shibuda ndiyo chaguo la wengi Chadema kugombea urais anakubalika kanda ya ziwa yote ambao ndiyo kuna wapiga kura wengi.
kwenye familia yenu. tak....o
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shibuda ndiyo chaguo la wengi Chadema kugombea urais anakubalika kanda ya ziwa yote ambao ndiyo kuna wapiga kura wengi.
Shibuda ndiyo chaguo la wengi Chadema kugombea urais anakubalika kanda ya ziwa yote ambao ndiyo kuna wapiga kura wengi.
katiba haijapita bado.....lakini kuna haja ya kuweka umri wa juu pia.....mwisho uwe 60...vizee navyo vitatuzingua tu na fikra mgando za 47baada ya msimamo wa muda mrefu wa mhe. Zitto kuutaka urais, msimamo huo umeota mabawa kufuatia pendekezo la tume kuwa mgombea awe na miaka 40 na zaidi.
Hofu kubwa ilikuwa imewajaa mashabiki wa dr slaa kutokana na msimamo huo wa kijana machachali na anae kubalika, sio tu na wanachama wengi wa chadema, bali na watanzania kwa ujumla.
Msimamo huo wa mhe. Zitto umekuwa ukimtoa jasho jembamba dr slaa kwani alijua fika kuwa yeye kwa mhe. Zitto afui dafu, kwani anajua wazi wazi mhe. Zitto ni mahiri wa kujenga hoja na kushawishi.
Kufuatia mapendekezo ya tume kuhusu umri wa kugombea urais, sasa dr slaa na mashabiki wake wamepata kupumua, kama ingekuwa vinginevyo, mhe. Zitto ndio angeshika hatamu ya kupeperusha bendera ya chadema kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Pole mhe.zitto, ila ningependa ujue tu wewe ndio ungeleta ushindani wa kweli katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa nafasi ya urais.
Naona watoto wa Lumumba kama kawaida yenu mmejianzishia thread ilimradi pesa iingie, hongera kwenu
Unaonaje awe mgombea wa 'pekee' kwa vyama vyote kama tunaona ni 'kifaa' sana kwa watanzania; yaani Chadema ikimsimamisha Zito, then chama chenu CCM, NCCR na CUF hawatosimamisha mgombea yeyote ngazi ya urais. Peleka pendekezo Lumumba hiliTukifuata vigezo vya hoja zito anahoja kuliko mzee slaa na anaushawishi wa ajabu kwa jamii huwezi kumlinganisha na slaa.
Sita ya nini mkuu, kwani anaenda kupanda minazi ya asili kule ili aisubiri ale madafu?Waweke hata miaka 6