Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

Shibuda ndiyo chaguo la wengi Chadema kugombea urais anakubalika kanda ya ziwa yote ambao ndiyo kuna wapiga kura wengi.

kwenye familia yenu. tak....o
 
Magamba kazini........haya maharamia yanavyomuogopa DR wa ukweli SLAA!......mmekula imektosha dr slaa juu sana.....sioni wa kumpima dr wa ukwelim.hakika hapimiki
 
Shibuda ndiyo chaguo la wengi Chadema kugombea urais anakubalika kanda ya ziwa yote ambao ndiyo kuna wapiga kura wengi.

Wapiga kura wengi maana yake nn?
 
katiba haijapita bado.....lakini kuna haja ya kuweka umri wa juu pia.....mwisho uwe 60...vizee navyo vitatuzingua tu na fikra mgando za 47
 
Tukifuata vigezo vya hoja zito anahoja kuliko mzee slaa na anaushawishi wa ajabu kwa jamii huwezi kumlinganisha na slaa.
 
Yeyote anayempinga zito pale chadema analake jambo dpgo yoko fit kihoja hata busara na anafaa kuwa mwenyekiti wa cdm pia.
 
Miaka saba? hii nchi ina watu milioni 44+ kwanini tutafute akina museveni wa katiba katika kipindi hiki ambacho kila mmoja ni fisadi? ni miaka 4 vipindi viwili, more than enough, la ikionekana ni gharama basi ibaki hiyohiyo 5. Hili pendekezo la wabunge wa kubebwa hili sijui kwanini Warioba aliliweka, tulichomwambia kwenye mikutano ya maoni ni kufuta wabunge wa viti maalum kwa kuwa hawana tija, sas hii maana halisi ni kurudisha wabunge wa viti maalum kupitia 'dirisha dogo'. Kuhusu umri nadhani iwe miaka 40 au 45 kwani tunataka Rais aliyekomaa japo kwa macho yake kuona sana jua. Dunia ya leo ina warembo wengi hii mambo ya Rais kuwekeana 'bifu' na vijana wa chuo kisa wamenyang'anyana warembo hatutataka yatokee. 45+8=53 ni miaka inayofaa kustaafu urais na kwenda kulima.
 
Tukifuata vigezo vya hoja zito anahoja kuliko mzee slaa na anaushawishi wa ajabu kwa jamii huwezi kumlinganisha na slaa.
Unaonaje awe mgombea wa 'pekee' kwa vyama vyote kama tunaona ni 'kifaa' sana kwa watanzania; yaani Chadema ikimsimamisha Zito, then chama chenu CCM, NCCR na CUF hawatosimamisha mgombea yeyote ngazi ya urais. Peleka pendekezo Lumumba hili
 
Ritz, kwani uvccm wanamheshimu Dr. Slaa?
 
Waweke na kikomo cha umri bcoz kuna vikongwe wanakomaa kugombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…