Wabunge Watatu wa CCM wahojiwa polisi kwa uchochezi Ngorongoro

Wabunge Watatu wa CCM wahojiwa polisi kwa uchochezi Ngorongoro

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Wabunge 3 wa CCM akiwemo mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai, Prof Kitila Mkumbo na Christopher Olesendeka wamehojiwa na polisi kwa tuhuma za Kufanya uchochezi, kupanga njama na wananchi wasitii maagizo ya Serikali Loliondo. Kamanda wa Polisi Dodoma, amesema hana taarifa hizo.

Pia soma - IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

24F3BB15-7BBD-4F7A-B14F-E09C746F0FDC.jpeg
 
Mi naona ni karibu watanzania wote hawaungi mkono kwa yanayoendelea huko ngorongoro, sasa ni kivipi wanahojiwa wabunge watatu pekee??

Mi naelewa, hakuna raia wala kiongozi yeyote mwenye kupenda au kuunga mkono raia au mtu mmoja afe au ateswe kwa sababu tuu ya jambo Fulani likafanyike, hakuna mwenye ujasiri wa kuona damu ya mtu ikimwagika na akasema sawa tuu na iwe hivyo

Kwa nini huwa hatupendi mazungumzo ya amani tuu pasina kumwaga damu ambao ndio uhai kwa mjibu wa Mandiko?
 
Wabunge 3 wa CCM akiwemo mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai, Prof Kitila Mkumbo na Christopher Olesendeka wamehojiwa na polisi kwa tuhuma za Kufanya uchochezi, kupanga njama na wananchi wasitii maagizo ya Serikali Loliondo. Kamanda wa Polisi Dodoma, amesema hana taarifa hizo.

Pia soma - IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

Yaliyomo hayamo ... Vumbi limechafuka
 
Back
Top Bottom