Wabunge Watatu wa CCM wahojiwa polisi kwa uchochezi Ngorongoro

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Mi naona ni karibu watanzania wote hawaungi mkono kwa yanayoendelea huko ngorongoro, sasa ni kivipi wanahojiwa wabunge watatu pekee??

Mi naelewa, hakuna raia wala kiongozi yeyote mwenye kupenda au kuunga mkono raia au mtu mmoja afe au ateswe kwa sababu tuu ya jambo Fulani likafanyike, hakuna mwenye ujasiri wa kuona damu ya mtu ikimwagika na akasema sawa tuu na iwe hivyo

Kwa nini huwa hatupendi mazungumzo ya amani tuu pasina kumwaga damu ambao ndio uhai kwa mjibu wa Mandiko?
 
Yaliyomo hayamo ... Vumbi limechafuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…