Wabunge Watatu wa CCM wahojiwa polisi kwa uchochezi Ngorongoro

hao wameekewa PANDIKIZI hilo KITILA! kitawabeba habari zao zote! maana sendeka najua ana Ng'ombe huko
 
Washughulikiane wao kwa wao. Ila serikali ya Ccm hupenda kuishi ki mchongo mchongo sana.
Lakini ina leta raha wabunge hao hao ndio walio tunga sheria hizo mbovu wakidhani hazita wagusa.. Daaadeki.
 
Wasiishie kuhojiwa bali wawekwe ndani kama mwezi hivi ndio mahojiano yaanze.
 
Safi sana, dhalim alisema wapinzani wametuchelewesha sana sasa kijani tupu mnaanza kutafunana
 
Watanzania wote?
Hiyo takwimu umeitoa wapi?
 
Dhalimu alikuwa anapenda damu kumwagika.
Huna uthibitisho huo na haijathibitishwa popote pale, itabaki kuwa tuhuma!

Na pointi yangu inasimama pale pale, hakuna binadamu anayeridhika kuona watu wakifa!! Vinginevyo itakuwa Ibilis yuko ndani yake akimwendesha na ibilisi akimtoka hatatamani kuishi na hatokuwa na amani hadi anakufa!

Na ndiyo maana mtu akiua, hata asipokamatwa, atakimbia tu mwenyewe, na amani ataanza kuiona pindi atakapojisalimisha police na kumrudia Mungu kwa toba!
 
Mtajuana wenyewe mchawi ukishiriki kula watoto wa wenzako siku wataliwa wakwako Asante Mungu kuwafitinisha wafitini...
 
Mtajuana wenyewe ccm mko wenyewe kila mahali bungeni ,mahakamani , serikali za mitaa , serikali kuu mpaka vituo vya polisi sisi tuna wazoom tu.
 
Dhalimu alikuwa anapenda damu kumwagika.
Nikikwambiaga una stresa za dhalimu wako unakataa..

Ana mwaka sasa toka akuache ila hujawahi kuacha kumtaja!

Itafika hatua wake zenu wasipowapa unyumba utamsingizia dhalimu wako
 
Kwa maneno mengine wanatuhumiwa kufanya uhaini🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…