Wabunge Watatu wa CCM wahojiwa polisi kwa uchochezi Ngorongoro

hao wabunge ni wasaliti na wahujumu wakubwa wa jitihada za serikali, wanapaswa wabanwe mbavu nyembamba.
 
Nikikwambiaga una stresa za dhalimu wako unakataa..

Ana mwaka sasa toka akuache ila hujawahi kuacha kumtaja!

Itafika hatua wake zenu wasipowapa unyumba utamsingizia dhalimu wako
Shetani anaachaje kusemwa? Shetani ameasi miaka na miaka ila mpaka leo anasemwa.
 
Wapelekwe Oman wakachapwe Viboko hadharani.

Kwanini wanapinga serikali ya mjomba??
 
Kwa asili Profesa Kitila Mkumbo ni mwanaharakati!! Mjasiri haachi asili!! Alikuwa mwanaharakati ndani ya Chadema, naona ameamua kuwa mwanaharakati pia ndani ya CCM!
 
Hawa mwakani hawarudi tena mjengoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…