Wewe una soko?Habar isiyokuwa na soko nw
Wewe una soko?
Chapombe mtamuuwa na pressure
labda kama unauza mavi, wateja wako nzi hapo sawa mkuuYap,nashukuru biashara zangu znakwenda vzr tu,karbu ujioneee
Tungi mpaka kubilingita mchezoAnawazidi akina Mwita Waitara na Charles Kitwanga? 🤔
Ninauliza tu lakini.
Eti chama kina ndoto ya kupata rais wa kuiongoza nchi ili khali komeshindwa kujiongoza chenyewe
Na bado,hadi abaki mwenyekiti na katibu tu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kamua konyagi nyingine kama bwana wakoStupid,...!
Waliondoka zaidi ya hao na chama ndo kwanza kiko ngangali.Chukueni wote