Makamanda uchwara utawasikia wanasema chama kinazidi kuimarika.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia tena.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Let them go washakuwa “obese” wakapumzike,Wabunge watatu wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kuondoka katika chama hicho na kujiunga na CCM.
Dkt. Immaculate Sware Semesi na Latifa Chande ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo la kukaa CHADEMA kutoenda Bungeni na kukaa Karantini.
View attachment 1479660 View attachment 1479662
View attachment 1479661
Viti maalum HaoMakamanda uchwara utawasikia wanasema chama kinazidi kuimarika.
Kamua konyagi nyingine kama bwana wako
Kwa chadema lazima uonane na mbowe faraghaHivyo viti maalum sijui wanapataje,
Umesahau kuwa atabaki na Faru JohnEti chama kina ndoto ya kupata rais wa kuiongoza nchi ili khali komeshindwa kujiongoza chenyewe
Na bado,hadi abaki mwenyekiti na katibu tu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Huu ni mwanzo tuu au tuseme ni muendelezo, baada ya Bunge kuvunjwa hapo kesho, inafuatia the mass exodus iliyozungumzwa hapaWabunge watatu wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kuondoka katika chama hicho na kujiunga na CCM.
Dkt. Immaculate Sware Semesi na Latifa Chande ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo la kukaa CHADEMA kutoenda Bungeni na kukaa Karantini.
View attachment 1479660 View attachment 1479662
View attachment 1479661
Biashara zako zinaenda vizuri kwa amani na utulivu uliopo nchini.Yap,nashukuru biashara zangu znakwenda vzr tu,karbu ujioneee
Mbowe anajua.Hivyo viti maalum sijui wanapataje,
Hata siwafahamu wala sijawahi kuwasikiaHabar isiyokuwa na soko nw