jossiekaps
JF-Expert Member
- Sep 11, 2015
- 322
- 250
Habari mpya ni ccm kwenda chadema, hii ya wapinzani kurudi lumumba sio issue
tungi alikuwa nankunywa nawewe? au uliambiwa na mama yako kuwa walikuwa pamoja?Tungi mpaka kubilingita mchezo
Wabunge wa viti maalum huwa siyo watu mihimu kwenye chama kwani hupata ubunge kwa njia za wepesiChapombe mtamuuwa na pressure
Konyagi na kuondoka wabunge wenye njaa wanaonunulika vina uhusiano gani?Kamua konyagi nyingine kama bwana wako
Yesu ni Mungu,na Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake.Magufuli ni mwanadamu alieumbwa na MunguWewe una akili timamu mpka unamuita Magu Yesu!..Stupid period
Wabunge watatu wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kuondoka katika chama hicho na kujiunga na CCM.
Dkt. Immaculate Sware Semesi na Latifa Chande ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo la kukaa CHADEMA kutoenda Bungeni na kukaa Karantini.
View attachment 1479660 View attachment 1479662
View attachment 1479661
Kuku kabisaNarudia tena mm kwangu wabunge ote ni mbuzi tu
Hata wengine wanachukuliwa kimapenzi na akina lijuakali na Msukuma ambao sasa ni madalali wa kuwanunua wabunge wasio na misimamo, kufa kufaana sasa lijuakali kawa Dalali wa CCM anapiga 10% kwenye ununuzi wa wabunge na madiwani na pia rushwa ya ngonoYaani hivi vimtu kuhama visiwatishe.....chama kipo katika mikono salama..hawa madiwani na wabunge qa njaa waende salama!!
Kutaka kuiua CDM ni sawa na kusema unataka kuua siasa za Upinzani katika nchi yetu. Hapa unahitaji si dola tu, bali unahitaji akili za ziada.
Sasa hivi vibunge maskini wa Mungu navionea huruma vinadanganywa kupewa Udc, U afisa tawala nk.
Kweli tamaa aka njaa ya utosi ni mbaya sana.
Tunawatakia safari njema huko waendako.. Jahazi linasonga mbeleWabunge watatu wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kuondoka katika chama hicho na kujiunga na CCM.
Dkt. Immaculate Sware Semesi na Latifa Chande ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo la kukaa CHADEMA kutoenda Bungeni na kukaa Karantini.
View attachment 1479660 View attachment 1479662
View attachment 1479661
Lijuakali anawachukua kama hana Akili nzuri ni Rushwa mpya ya ngonoNjaa mbaya sana
Yesu ni Mungu,na Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake.Magufuli ni mwanadamu alieumbwa na Mungu
Magufuli kapewa nchi na Mungu kwa ajili ya kuongoza Tanzania.
Akili ikihamia tumboniLijuakali anawachukua kama hana Akili nzuri ni Rushwa mpya ya ngono
Wewe komaa na pombe wenzako wanatumia fursa kusaka pesa za kampeni, Ndungai katika zile bilion 12 kaamua kumpa lijuakali pesa kimya kimya azitumie kuidhoofisha chadema, huku CCM na wao wakitoa pesa, lijuakali anakula huku na huku na kule kote anavuna pesaTungi mpaka kubilingita mchezo
Sheria ya kua na mabeberu wa madaraka lini yesu anaweka wino?Makamanda uchwara utawasikia wanasema chama kinazidi kuimarika.
Hivi hawa nao walikuwa ni wale wa upendeleo maalum kwa walemavu/ mabubu maana sikuwahi kuwasikia wala kutambua uwepo wao huko chademaWabunge watatu wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kuondoka katika chama hicho na kujiunga na CCM.
Dkt. Immaculate Sware Semesi na Latifa Chande ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo la kukaa CHADEMA kutoenda Bungeni na kukaa Karantini.
View attachment 1479660 View attachment 1479662
View attachment 1479661
Mavi yakoWewe komaa na pombe wenzako wanatumia fursa kusaka pesa za kampeni, Ndungai katika zile bilion 12 kaamua kumpa lijuakali pesa kimya kimya azitumie kuidhoofisha chadema, huku CCM na wao wakitoa pesa, lijuakali anakula huku na huku na kule kote anavuna pesa