Wabunge watatu wa Viti Maalum CHADEMA watangaza kuachana na chama hicho na kujiunga CCM

Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia tena.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
 
Let them go washakuwa “obese” wakapumzike,
 
Ni uhuru wao wache waondoke ,chadema ina vijana wengi watakuja kwa kasi bungeni, wacha wao wakamvulie chupi yule katibu wa chapa pendwa awape mil 70
 
Hawana jipya au, uchaguzi unakuja na wamepima. Upepo wameona hawarudi mjengoni naona wanataka kujaribu kuitumia upepo wa ccm au vyama vingine
Ila watambue tu huko nako Kuna watu.....wasitegeme kubebwaa hata wakisema vibaya vipi cdm itakula kwao

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Huu ni mwanzo tuu au tuseme ni muendelezo, baada ya Bunge kuvunjwa hapo kesho, inafuatia the mass exodus iliyozungumzwa hapa

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

P
 
Yap,nashukuru biashara zangu znakwenda vzr tu,karbu ujioneee
Biashara zako zinaenda vizuri kwa amani na utulivu uliopo nchini.
Serikali ya JPM inasimamia vizuri nchi.ndo maana biashara yako inafanya vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…