Wabunge watatu wa Viti Maalum CHADEMA watangaza kuachana na chama hicho na kujiunga CCM

Habari mpya ni ccm kwenda chadema, hii ya wapinzani kurudi lumumba sio issue
 
Yaani hivi vimtu kuhama visiwatishe.....chama kipo katika mikono salama..hawa madiwani na wabunge qa njaa waende salama!!

Kutaka kuiua CDM ni sawa na kusema unataka kuua siasa za Upinzani katika nchi yetu. Hapa unahitaji si dola tu, bali unahitaji akili za ziada.

Sasa hivi vibunge maskini wa Mungu navionea huruma vinadanganywa kupewa Udc, U afisa tawala nk.

Kweli tamaa aka njaa ya utosi ni mbaya sana.
 
Wewe una akili timamu mpka unamuita Magu Yesu!..Stupid period
Yesu ni Mungu,na Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake.Magufuli ni mwanadamu alieumbwa na Mungu
Magufuli kapewa nchi na Mungu kwa ajili ya kuongoza Tanzania.
 
Hata wengine wanachukuliwa kimapenzi na akina lijuakali na Msukuma ambao sasa ni madalali wa kuwanunua wabunge wasio na misimamo, kufa kufaana sasa lijuakali kawa Dalali wa CCM anapiga 10% kwenye ununuzi wa wabunge na madiwani na pia rushwa ya ngono
 
Tunawatakia safari njema huko waendako.. Jahazi linasonga mbele
 
Yesu ni Mungu,na Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake.Magufuli ni mwanadamu alieumbwa na Mungu
Magufuli kapewa nchi na Mungu kwa ajili ya kuongoza Tanzania.

CCM mmechagua Magu kuwa Yesu au siyo nyie
 
Tungi mpaka kubilingita mchezo
Wewe komaa na pombe wenzako wanatumia fursa kusaka pesa za kampeni, Ndungai katika zile bilion 12 kaamua kumpa lijuakali pesa kimya kimya azitumie kuidhoofisha chadema, huku CCM na wao wakitoa pesa, lijuakali anakula huku na huku na kule kote anavuna pesa
 
Hii mbona kawaida wanaenda ku test zali kwengine
Waone kama watampitisha tena
Wapokee mshahara

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hivi hawa nao walikuwa ni wale wa upendeleo maalum kwa walemavu/ mabubu maana sikuwahi kuwasikia wala kutambua uwepo wao huko chadema
 
Mavi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…