Wabunge watatu wa Viti Maalum CHADEMA watangaza kuachana na chama hicho na kujiunga CCM

CCM mmechagua Magu kuwa Yesu au siyo nyie
Magufuli kuwa Rais ni mpango wa Mungu,bila Mungu asingeweza.Magufuli ana hofu ya Mungu ndo maana anasisitiza kumuomba Mungu kwa kila jambo liwe kubwa ama dogo.
"Upo",,, by-bi faiza.
 
Hakuna hasara,kwani Viti vya dezo yaani viti maalum vinatokana na idadi ya wabunge waliopigania ubunge wa jimbo.Hata nchi ya Sweden wafadhili wa demokrasia kwa Tanzania hawataki biashara ya viti maalum na sababu zake ziko wazi.
Watafute kazi nyingine.
 
Msukuma, lijuakali, kibajaji na wenzao wamepata bingo wamekuwa madalali wa siasa wanakula pesa za maendeleo kwa kuzitumia kuihujumu kuidhoofisha chadema ni pesa ambazo zingeweza kujenga flyover Magomeni, Morocco, mwenge kule jijini Dsm lakini sasa zinatumika kwenye vitendo haramu, hii CCM ya sasa imeamua kuwekeza kwenye matumbo ya wenye njaa wasio na manufaa kwa Taifa.
 
Magufuli kuwa Rais ni mpango wa Mungu,bila Mungu asingeweza.Magufuli ana hofu ya Mungu ndo maana anasisitiza kumuomba Mungu kwa kila jambo liwe kubwa ama dogo.
"Upo",,, by-bi faiza.
Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali ni mipango ya Mungu?
 
Pesa za viwanda pesa za kujenga Hosptal kubwa za rufaa pesa za kujenga vyuo vikuu zote zimechukuliwa wanapewa madalali wa siasa kuidhoofisha chadema ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi.
 
Hiyo siyo habari tena, wacha waende wakajitafutie ridhiki
 
Hivi nyinyi watu inakuwaje mnakosa ustaarabu? Kwanini mnafurusha matusi badala ya kujibu hoja kwa hoja?

Matusi yanawasaidia kitu gani? Kama hamuwezi kujibu kwa hoja basi nendeni fb.
Kamua konyagi nyingine kama bwana wako
 
Umenikumbusha ile kitu ya karatu
Ni uhuru wao wache waondoke ,chadema ina vijana wengi watakuja kwa kasi bungeni, wacha wao wakamvulie chupi yule katibu wa chapa pendwa awape mil 70
 
Eti nao wanajiona [emoji513] keki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…