kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,547
- 2,384
Wapokeeni tu, lkn chadema ni zaidi ya chama...tuko vzr kuliko waganga wenu wanavyowadanganya mkuu...mtawapokea wee mwisho wa cku wanawaletea mpasuko tuHuu ni mwanzo tuu au tuseme ni muendelezo, baada ya Bunge kuvunjwa hapo kesho, inafuatia the mass exodus iliyozungumzwa hapa
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
P