Wabunge watatu wa Viti Maalum CHADEMA watangaza kuachana na chama hicho na kujiunga CCM

Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia.

Narudia tena.

Nani anataka kukaa jumba bovu? Limwangukie!!!
 
Naskia ccm ya lumumba kuna yesu ndio mwenyekiti wenu[emoji16][emoji16]
 
Wametoa sababu gani? Au ni zile zile za kila mbunge wa kike anayejitoa CHADEMA: Kutumika kama chakula cha bwana. Imeandikwa kwenye Biblia kwamba watumishi wa Bwana watakula madhabahuni basi vivyo hivyo viongozi wa siasa watakula Chamani!
 
Nani anataka kukaa jumba bovu? Limwangukie!!!
Jumbo bovu lipi? Pesa mnayoitumia kuidhoofisha chadema si mngewekeza kwenye maendeleo muache wananchi ndiyo waamue wenyewe
 
Wametoa sababu gani? Au ni zile zile za kila mbunge wa kike anayejitoa CHADEMA: Kutumika kama chakula cha bwana. Imeandikwa kwenye Biblia kwamba watumishi wa Bwana watakula madhabahuni basi vivyo hivyo viongozi wa siasa watakula Chamani!
Sasa waliotoka ni chakula cha lijuakali Msukuma na kubajaji wamekwenda kuchepuka hawana lolote
 
Mpelekeni DJ sober nyagi zitamuuwa Sasa ana sonona
Pesa inayotumika kuidhoofisha chadema itumike kuleta maendeleo siyo kuliwa na madalali wa siasa huko CCM matokeo yake mnaanza kuwatumia wasiojulikana kuwapiga chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…