Wabunge watetezi wa kweli wa hoja za wananchi Gambo anaongoza

Wabunge watetezi wa kweli wa hoja za wananchi Gambo anaongoza

juma30

Senior Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
159
Reaction score
459
Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo ndio anaongoza kwa hoja nzito za kuwapigania wananchi ndani ya Bunge tofauti na wabunge wengine wa kusifu na kuabudu akifuatiliwa na Bashiru Ally.

Tuweke list ya top 5 ya wabunge watetezi kweli wa hoja za wananchi bungeni;

1. Mrisho Gambo
2. Bashiru Ally
 
Gambo inabidi apaze sauti, maana Lema ameshaanza kufungasha mabegi.
 
Bashiru kwa yale maswali ya jana ,kesho tusishangae akateuliwa kuwa balozi Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom