Tetesi: Wabunge wawili, watahama upinzani punde

Mleta mada hana tofauti na wale wqganga wa kienyeji wenye mabango kila kona kwenye nhuzo za umeme
 
JUZI MMETULETEA HABARI KUWA MMEMKATAA MBUNGE MACHACHARI WA CHADEMA ALIYETAKA KUHAMIA KWENU, LEO TENA MNATULETEA HABARI WABUNGE MACHACHARI WANATAKA KUHAMIA KWENU. HIVI MNAFIKIRI SISI HATUNA KUMBUKUMBU
Machachari kwa kufunga tai Gulf style.
 
Wanaume ndio wengi! Wanawake wengi ni vimada wa yule jamaa mwenye kengeza
Hahahah kwa hiyo kwao uzi bado haujakaza ngoja bosi wao akae kwanza kule mahali akitoka anakuta mpaka lemara amehamia kwa mr slow mooo
 
Wanabodi,

Kama ilivyo ada, ninawaletea habari mpya, ambayo ina msisimko kwa siasa za nchi kwa sasa. Jana majira ya saa 7 mchana niliipata ila imethibitishwa leo asubuhi. Wabunge wengine 2(wenye majina makubwa) wataondoka Upinzani na kujiunga na CCM ama kuacha siasa. Malengo yao ni kujipanga kwa ajili ya 2020.

Swali langu, hamahama itakwisha lini tujenge nchi?

Nelson,
Mwanza

Ujinga wako share na mumeo
 
Wewe ungesema tu Mbowe na Lisu wanahamia CCM halafu tukuambie waambie safari njema na tunaendelea na CHADEMA yetu.
Hizo ngonjera wala hazitusumbui.
 
Huu ubatizo wa moto hautamuacha hata mmoja, labda mwanawe bashite
Mwanzoni ilijulikana kuwa bwana yule atawagusa watu wa upande ule pekee lakini hili la 25% kila mtu ameguswa awe CCM, CUf, Nccr, Act,Chadema n.k.
Wacha waendelee kutunyonya damu mpaka itukauke na tufe kabisa.
Hakika mtu akionja nyama ya mtu haachi ~Mwl. JK Nyerere
 
Wanabodi,

Kama ilivyo ada, ninawaletea habari mpya, ambayo ina msisimko kwa siasa za nchi kwa sasa. Jana majira ya saa 7 mchana niliipata ila imethibitishwa leo asubuhi. Wabunge wengine 2(wenye majina makubwa) wataondoka Upinzani na kujiunga na CCM ama kuacha siasa. Malengo yao ni kujipanga kwa ajili ya 2020.

Swali langu, hamahama itakwisha lini tujenge nchi?

Nelson,
Mwanza
Tunasubiri na mwenyekiti akitoka mahabusu ahamie CCM ili tumalize kazi
 
Dirisha la usajili si limeisha fungwa?
Lililofungwa ni lile la kupewa tena ubunge kupitia CCM. Kuhamia chama chochote hakuna muda unaweza kuhamia hata wewe na utakuwa mwanachama kama Mpendazoe.
 
Wanabodi,

Kama ilivyo ada, ninawaletea habari mpya, ambayo ina msisimko kwa siasa za nchi kwa sasa. Jana majira ya saa 7 mchana niliipata ila imethibitishwa leo asubuhi. Wabunge wengine 2(wenye majina makubwa) wataondoka Upinzani na kujiunga na CCM ama kuacha siasa. Malengo yao ni kujipanga kwa ajili ya 2020.

Swali langu, hamahama itakwisha lini tujenge nchi?

Nelson,
Mwanza
Hivi kuna faida gani kwa haya majitu yakihama hama kama kumbikumbi? Nadhani tupadilishe vipengele kama mbunge akihama atafutwe wa kujaza nafasi yake kupitia chama alichokihama ili tuumalize huu ujinga
 
Back
Top Bottom