Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Ubinafsi ulioonyeshwa na wabunge wetu wakibanwa imewafanya watie aibu katika jamii.
Sakata la vikwazo vya Marekani liko mbele yetu kama nchi.
Wahusika binafsi ni wale waliofanya mambo mabaya dhidi ya umma wa Kitanzania.
Watu hao ni watekati, waliovuruga utaratibu wa uchaguzi, walioua waandamanji waliopinga uchaguzi haramu, hata majaji waliodhulumu utaratibu wa kisheria na wengine wengi.
Sasa wabunge wetu wanajidai hawafahamu haya.
Kamati ya Bunge la Marekani hawaongei kitu tusichokifahamu. ni mambo yaliyo wazi na yamekuwa yakilalamikiwa kwa muda mrefu.
Ukiwasikia wabunge wiki iliyopita wakitetea status quo ya serikali, basi badala ya kuishauri serikali kujirekebisha , wao wanawalaumu waMarekani.
Kituu gani wasichokijua wabunge wetu?
Je?
Wanaunga mkono utekaji?
Wanaunga mkono ukiukwaji wa haki za watanzania?
Wanaunga mkono kuwa na kesi za kubumba kama ya Lissu?
Bunge kama mhimili halijalaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba.
Sasa kama Mtanzania, najiuliza wabunge na Bunge letu , wako Bungeni kumuwakilisha nani?