Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Ubinafsi ulioonyeshwa na wabunge wetu wakibanwa imewafanya watie aibu katika jamii.
Sakata la vikwazo vya Marekani liko mbele yetu kama nchi.
Wahusika binafsi ni wale waliofanya mambo mabaya dhidi ya umma wa Kitanzania.
Watu hao ni watekati, waliovuruga utaratibu wa uchaguzi, walioua waandamanji waliopinga uchaguzi haramu, hata majaji waliodhulumu utaratibu wa kisheria na wengine wengi.
Sasa wabunge wetu wanajidai hawafahamu haya.
Kamati ya Bunge la Marekani hawaongei kitu tusichokifahamu. ni mambo yaliyo wazi na yamekuwa yakilalamikiwa kwa muda mrefu.
Ukiwasikia wabunge wiki iliyopita wakitetea status quo ya serikali, basi badala ya kuishauri serikali kujirekebisha , wao wanawalaumu waMarekanai.
Kituu gani wasichokijua wabunge wetu?
Wanaunga mkono utekaji?
Wanaunga mkono ukiukwaji wa haki za watanzania?
Wanaungwa mkoni kuwa na kesi za kubumba kama ya Lissu
Bunge kama mhimili halijalaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba.
Sasa kama Mtanzania, najiuliza wabunge na Bunge letu , wako Bungeni kumuwakilisha nani?
kwani hao waliotengeneza huo muswada wanamuwakilisha nani gentleman?
kulikoni umejaa fikra za kitumwa na uzalendo uliodumaa hivyo ndugu mdau wa JF?
Mkuu hatutaacha kuwa wananchi wa Tanzania, hususan Tanganyika.MKUUU USIFUATILIE BUNGE LA WAPUMBAVU, NA WEWE UTAKUWA MPUMBAVU KAMA WAO
Kwanza ni wawakilishi haramu, hivyo wanawakilisha uharamu ulifanyika kabla na baada ya siku hiyo , Kwani umewawezesha kuwaibia wa Tanzania Haki na rasilimali zao, Kwani wanacho kipata sasa ni haramuUbinafsi ulioonyeshwa na wabunge wetu wakibanwa imewafanya watie aibu katika jamii.
Sakata la vikwazo vya Marekani liko mbele yetu kama nchi.
Wahusika binafsi ni wale waliofanya mambo mabaya dhidi ya umma wa Kitanzania.
Watu hao ni watekati, waliovuruga utaratibu wa uchaguzi, walioua waandamanji waliopinga uchaguzi haramu, hata majaji waliodhulumu utaratibu wa kisheria na wengine wengi.
Sasa wabunge wetu wanajidai hawafahamu haya.
Kamati ya Bunge la Marekani hawaongei kitu tusichokifahamu. ni mambo yaliyo wazi na yamekuwa yakilalamikiwa kwa muda mrefu.
Ukiwasikia wabunge wiki iliyopita wakitetea status quo ya serikali, basi badala ya kuishauri serikali kujirekebisha , wao wanawalaumu waMarekani.
Kituu gani wasichokijua wabunge wetu?
Je?
Wanaunga mkono utekaji?
Wanaunga mkono ukiukwaji wa haki za watanzania?
Wanaunga mkono kuwa na kesi za kubumba kama ya Lissu?
Bunge kama mhimili halijalaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba.
Sasa kama Mtanzania, najiuliza wabunge na Bunge letu , wako Bungeni kumuwakilisha nani?
Ushuzi kama ushuzi dadek
Hili nalo neno!!Kwanza ni wawakilishi haramu, hivyo wanawakilisha uharamu ulifanyika kabla na baada ya siku hiyo , Kwani umewawezesha kuwaibia wa Tanzania Haki na rasilimali zao, Kwani wanacho kipata sasa ni haramu
Sio asilimia 80 wote wanatupwa njeeHao wote unaowaona mule ndani ni waunga Juhudi, uchaguzi wa kweli ukifanyika nusu ya wabunge mule hawatoboi.
Bunge limeanza kukosa uhalali wake kwa wananchi.Huu mfumo unaowekewa kauzibe na Marekani ndio uliowaweka hawa wabunge mjengoni.
Hawawezo kuikubali mantiki ya Marekani.