Wabunge wetu mnatia aibu, sakata la vikwazo, huko Bungeni mnamuwakilisha nani?

Kwa kweli wabunge si wa wananchi.
Ni wabunge wa maslahi yao na vizazi vyao.
 
Wanayohofu kushauri kwani mikwaju ipo na uchaguzi oct29 ndiyo uliowapa nagasi hivyo mambo mawili yana waweka njia panda,kilicho baki kutetea ugali hata kama umeingia mchanga.
 
"polisi akitishiwa kulengwa jiwe na raia mara moja polisi anatakiwa kushambulia kwa silaha aliyo nayo ambayo ni bunduki Shut and kill"

THABIT KOMBO
 
Wanayohofu kushauri kwani mikwaju ipo na uchaguzi oct29 ndiyo uliowapa nagasi hivyo mambo mawili yana waweka njia panda,kilicho baki kutetea ugali hata kama umeingia mchanga.
Kwa hiyo KIMSINGI wabunge waliopo Bungeni hawatetei wananchi, wanatetea mfumo uliowaingiza Bungeni kimagumashi.
 
Kwani hao waliotengeneza huo muswada wanamuwakilisha nani gentleman?
kulikoni umejaa fikra za kitumwa na uzalendo uliodumaa hivyo ndugu mdau wa JF?
Wabunge wa CCM ndio wanafikra za kitumwa, kwanini na wao wasipitishe muswada wa kuiwekea vikwazo Marekani?
 

Wanatetea matumbo yao.
 
hatuna wawakilishi hapo

tumewachagua ili wakatetee ugali wao...wapumbavu sana hao
 


Hakuna mtanzania aliyepewa mamlaka ya kudhumu mtanzania wingine kwa sababu ya dhamana aliyo nayo. Hakuna mtanzania ambaye sababu ya dhamana, familia yake ipewe special favors, kwa hila na magumashi, zaidi ya watanzania wengine.
Tanzania ni nchi yenye watu mamilioni. Sio mali binafsi ya yeyote yule. Naa kuna siku sisi watanzania wote tutawajibika
 
Agree!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…