Nipo natazama wachangiaji wa bunge linaloendelea. Cha kushangaza wengi wa wabunge wanatumia muda wao mwingi wakitoa sifa nyingi kwa kazi zilizofanyika. Cha kushangaza zaidi baadae wanakimbizana na muda kutoa pointi za msingi na muda hauwatoshi.
Niwambie wapiga kura watakupima kwa kile upichochangia kwenye matatizo yao na siyo sifa ulizopamba utawala
Niwambie wapiga kura watakupima kwa kile upichochangia kwenye matatizo yao na siyo sifa ulizopamba utawala