Miaka mingi sasa kumekuwa na trend kuwa budget bora ya nchi ni ile ambayo inazidi ya mwaka uliopita.
Spending inaongezeka na badala ya makusanyo ya ndani yalioongezeka kutumika kuweka budget isiyotegemea misaada, tunafikiria kuongeza matumizi.
2023/24: TZS 44.4 trillion
2024/25: TZS 49.36 trillion
2025/26: TZS 56.49 trillion
TANZANIA INAHITAJI BALANCED BUDGET SIO LARGER BUDGET.
Mfano: Kama makusanyo ya kodi yameogezeka kwa asilimia 20, na budget ya nchi inategemea 20% kutoka kwenye mikopo na wahisani, kwanini msibaki kwenye figure ile ile na kuondoa foreign dependency?
HOPE IS NOT A PLAN!!
Huwezi kila mwaka ukaandaa budget wakati vyanzo vyako vya ndani havikidhi budget unayotaka, tushaonyeshwa dunia inapoelekea huu utegemezi utafanya tutawaliwe upya
Nchi hii haijawahi kuwa na balanced budget wala kuwa na budget surplus, lakini kila mwaka tunaongeza budget, huu ni ulimbukeni.
Keep Government Spending Reasonable!!