Wabunge Wote Wasiotaka Kura za Wazi are Cowards ni wakati Muafaka Wakajitoa huko Dodoma Haraka Sana!

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400
- Nimeshitushwa sana na habari za mzozo wa Kupiga kura huko Dodoma kwenye bunge la Katiba, siamini kwamba leo 2014 Tanzania tuna viongozi watuwazima na akili timamu wanalia lia kama watoto wadogo eti wanaogopa kupiga kura za wazi are you kidding me or what? Katika kuishi kwangu nje miaka mingi sana sijawahi kusikia Viongozi wanaume wakililia kupiga kura za siri on anything, sasa sisi Tanzania tumemkosea nini Mungu mpaka kuweza kuwa na Viongozi wa Taifa waoga waoga mpaka kuogopa kupiga kura ya wazi?

- Mimi nilidhani Wanasiasa wote Duniani huwa wanalilia kazi zao kuonekana wazi kwa wananchi na hizi kura ndio haswa ilikuwa nafasi za wanasiasa wetu kuonyesha misimamo yao wazi kwenye kura na kuweza kusimama kuitetea kwa nini wamepiga kura kama walizopiga, badala yake naona wanaume watuwazima wakilia lia kila siku kuomba wapige kura za siri kusudi wasijulikane na wananchi wanaowaongoza wamepigaje kura zao, Really?

- Naomba wale Viongozi wote huko bungeni Dodoma wanaolilia kama watoto habari za kupiga kura za siri waondoke huko mara moja, cause hawafai, ni kiongozi gani Duniani leo anayeogopa kupiga kura ya wazi na kusimama mbele ya Taifa kutoa sababu za kwa nini amepiga kura yake kama alivyopiga? Ukweli ni kwamba hawafai kuwa Viongozi na hata kuwa wawakilishi wa wengine, wananchi wa Tanzania hatujawatuma viongozi waoga na cowards huko Dodoma ni simply kwamba hawawezi na hawatufai, waondoke mara moja na wawaachie wananchi wengine nafazi zao, wananchi wasio ogopa kuhesabiwa na umma!!, Wananchi tunataka katiba mpya na inatakiwa kuandikwa na wananchi walio tayari kufa kwa kusimamia misimamo yao, sio waoga waoga kama fisi fukuza wote huko Dodoma waoga waoga!!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA

Le Mutuz Big Show
 
Na wewe Kwa nini ukatae kura ya siri ni ushamba pia,

- Kiongozi mzima wa wananchi mwenye akili timamu kuogopa kupiga kura ya wazi? I become a coward unfit to lead kaka huwezi kuwa kiongozi wa Taifa ukaanza kulilia kura za siri hufai ondoka kwenye uongozi mara moja waachie wanaoweza kusimama wahesabiwe!! na wapo wengi tu!!

Le Mutuz
 
Tukae tujiulize mjadala huu wa kura ya wazi na ya siri umetoka wapi? Tukishajua chanzo chake, hapo ndipo tutaweza kujadilili kwa nini viongozi hao wanataka kura zipigwe kwa wazi au siri.
 
pumba tupu,
raisi wako alichaguiwa kwa kura ya wazi?
 
Unatetea ujinga wewe.. kwanini kura katika uchaguzi ni siri??? Why isiwe wazi??
 
- Nimeshitushwa sana Katika kuishi kwangu nje miaka mingi sana sijawahi kusikia Viongozi wanaume wakililia kupiga kura za siri on anything, sasa sisi Tanzania tumemkosea nini Mungu mpaka kuweza kuwa na Viongozi wa Taifa waoga waoga mpaka kuogopa kupiga kura ya wazi?

- Mimi nilidhani Wanasiasa wote Duniani huwa wanalilia kazi zao kuonekana wazi kwa wananchi na hizi kura ndio haswa ilikuwa nafasi za wanasiasa wetu kuonyesha misimamo yao wazi kwenye kura na kuweza kusimama kuitetea kwa nini wamepiga kura kama walizopiga, badala yake naona wanaume watuwazima wakilia lia kila siku kuomba wapige kura za siri kusudi wasijulikane na wananchi wanaowaongoza wamepigaje kura zao, Really?

- Naomba wale Viongozi wote huko bungeni Dodoma wanaolilia kama watoto habari za kupiga kura za siri waondoke huko mara moja, cause hawafai, ni kiongozi gani Duniani leo anayeogopa kupiga kura ya wazi na kusimama mbele ya Taifa kutoa sababu za kwa nini amepiga kura yake kama alivyopiga? Ukweli ni kwamba hawafai kuwa Viongozi na hata kuwa wawakilishi wa wengine, wananchi wa Tanzania hatujawatuma viongozi waoga na cowards huko Dodoma ni simply kwamba hawawezi na hawatufai, waondoke mara moja na wawaachie wananchi wengine nafazi zao, wananchi wasio ogopa kuhesabiwa na umma!!, Wananchi tunataka katiba mpya na inatakiwa kuandikwa na wananchi walio tayari kufa kwa kusimamia misimamo yao, sio waoga waoga kama fisi fukuza wote huko Dodoma waoga waoga!!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA

Le Mutuz Big Show

Ati Nimetishwa,, we jamaa hopeless kabisa.... hivi ulisoma civics Tanzania Kweli? Form two wanafundishwa costitution pamoja na Secreat Balot na umuhimu wake leo unaibuka kama mtoto wa darasa la saba?

Leo hii ukimfundisha mtoto wa Secondary nini umuhimu wa secret balot si atakushangaa coz leo unatetea kura ya wazi.

Ina maana hao wanawake huko bungeni ww huwatambui? Maanake unadai ati wanaume wazima wanalia huko bungeni...
 
- Kiongozi mzima wa wananchi mwenye akili timamu kuogopa kupiga kura ya wazi? I become a coward unfit to lead kaka huwezi kuwa kiongozi wa Taifa ukaanza kulilia kura za siri hufai ondoka kwenye uongozi mara moja waachie wanaoweza kusimama wahesabiwe!! na wapo wengi tu!!

Le Mutuz
Upo sahihi ila unazungumzia anga za mbali. Njaa inafanya watu wawe wanafiki. Nani atakubali aseme ukweli familia ife njaa? Wake-up Mtoto wa Malecela, utapata true clour ya mtu kura ikiwa ya siri. Hizi ni mbinu za CCM kuhakikisha inashinda katika ufedhuli wa kuuza utanganyika wetu kwa Wazanzibari. Kwa mtindo huo, kura iwe ya siri na ikiwa hivyo, Tanganyika yaja kama si siri, hakuna cha Tanganyika
 
W. J. Malecela Ulipochaguliwa kwenye huo umoja unaotarajiwa kufutwa wakati wowote na ccm wazazi(pinda), ulichaguliwa kws kura ya wazi au siri?
 
Last edited by a moderator:
Mimi sasa nimebadilisha msimamo. .. seriously. Nataka kura ya wazi. Tutakuwa tunatiki hapa, nani anawakilisha wananchi na nani anawakilisha chama. ..
 
tatizo ni kabla na baada ya hiyo kura. Na si wakati wa kura. Zaidi elewa ni tofauti sana by 40yrs na huko unakotolea mifano
 
Ati Nimetishwa,, we jamaa hopeless kabisa.... hivi ulisoma civics Tanzania Kweli? Form two wanafundishwa costitution pamoja na Secreat Balot na umuhimu wake leo unaibuka kama mtoto wa darasa la saba?

Leo hii ukimfundisha mtoto wa Secondary nini umuhimu wa secret balot si atakushangaa coz leo unatetea kura ya wazi.

Ina maana hao wanawake huko bungeni ww huwatambui? Maanake unadai ati wanaume wazima wanalia huko bungeni...

- Coward that is what you are unfit to lead, ondoka kama upo huko Dodoma hufai simply hufai toka huko Dodoma waachie wanaume wanaoweza kusimama na kuhesabiwa, wewe unatetea mediocre ya kupiga kura kwa siri ili iwe nini? Utaandika katiba mpya kwa siri?

- Kaka kasome Founding Fathers wa Amerika kama walipiga kura kwa siri, infact Madison alitishia kuvunja process nzima iwapo hoja yake ya kuimarisha mahakama ingekataliwa na alismama na kusema wazi sio kwa siri, wale wote huko Dodoma ambao hamuwezi kusimama kuhesabiwa wakati muafaka sasa ondokeni huko you cowards!!

Le Mutuz
 
Ulipochaguliwa kwenye huo umoja unaotarajiwa kufutwa wakati wowote na ccm wazazi(pinda), ulichaguliwa kws kura ya wazi au siri?

- Kaka wanaume wanaandika katiba mpya kwa kura za siri ulisikia wapi hiyo? Huko dodoma wameenda watu wengi wasiofaaa fukuza wote tuanze upya ibidi na waulizwe mapema wanataka kupiga kura za siri au za wazi, kura inapigwa wazi

Le Mutuz
 
sababu ziko wazi , tayari watu wanatishiwa na viongozi wao kuwa lazima wasimamie maslahi ya chama, kama vyama vyote vingeenda kusimamia maslahi ya wananchi nadhani haya mambo ya kura ya aina gani ipigwe yasingekuwepo . Ni heri ccm wasingetangaza hadharani msimamo wao wa serikali mbili maana ambacho mimi nakiamini ni kwamba kura ikiwa ya sirii kuna wabunge wengi wa ccm wataungana na wapinzani kupitisha maamuzi yaliyo kinyume na msimamo wa chama ambao sio kila mbunge wa ccm anaafikiana nao. N a kama ccm wanajiamin kwamba hata kama ukitumika utaratibu wa kura wowote ule watashinda kwanini sasa wanakataa kura za siri ?
 
Upo sahihi ila unazungumzia anga za mbali. Njaa inafanya watu wawe wanafiki. Nani atakubali aseme ukweli familia ife njaa? Wake-up Mtoto wa Malecela, utapata true clour ya mtu kura ikiwa ya siri. Hizi ni mbinu za CCM kuhakikisha inashinda katika ufedhuli wa kuuza utanganyika wetu kwa Wazanzibari. Kwa mtindo huo, kura iwe ya siri na ikiwa hivyo, Tanganyika yaja kama si siri, hakuna cha Tanganyika

- Katiba ya Taifa haiwezi kuandikwa kwa kura za siri wale wote wanaolilia kura za siri waondoke huko now hawafai ni cowards, waondoke now!!

Le Mutuz
 
Mimi sasa nimebadilisha msimamo. .. seriously. Nataka kura ya wazi. Tutakuwa tunatiki hapa, nani anawakilisha wananchi na nani anawakilisha chama. ..

tatizo maccm yanawatishia wezao, yapo tayari hata kuuwa simply umepingana na mawazo yao...
 
Huyu W J Malechela ni mtoto wa nje wa John Malechela nini ?

Maana analeta hoja za ajabu ajabu. Basi tupige kura kwa kusimama nyuma mbunge au rais wakati wa uchaguzi mkuu.
 
sababu ziko wazi , tayari watu wanatishiwa na viongozi wao kuwa lazima wasimamie maslahi ya chama, kama vyama vyote vingeenda kusimamia maslahi ya wananchi nadhani haya mambo ya kura ya aina gani ipigwe yasingekuwepo . Ni heri ccm wasingetangaza hadharani msimamo wao wa serikali mbili maana ambacho mimi nakiamini ni kwamba kura ikiwa ya sirii kuna wabunge wengi wa ccm wataungana na wapinzani kupitisha maamuzi yaliyo kinyume na msimamo wa chama ambao sio kila mbunge wa ccm anaafikiana nao. N a kama ccm wanajiamin kwamba hata kama ukitumika utaratibu wa kura wowote ule watashinda kwanini sasa wanakataa kura za siri ?

- Hakuna nayetishiwa Warioba hajatishiwa sasa msiatfute maneno ya kujitetea uongo hapa, cowards waondoke huko haraka sana now!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom