- I have no side but as a man will never cry for a secret ballot WHY? What I am scared off?
Le Mutuz
Mkuu mimi ni mwana CCM lakini katka hili CCM is fighting a losing battle.
Kugeuza watu mawazo kwa CCM ilipofikia kisiasa ni kazi inayohitaji a master and maverick politician anayeweza kuwaunganisha tena wana CCM.
CCM ina makundi, CCM haina dira, viongozi wanapigana vijembe hadharani,viongozi wengine wanapenyeza rupia kuendeleza ndoto zao za kisiasa, ilhali HAKUNA UNIFYING IDEOLOGY.
Huko zanzibar, imejitwalia madara zaidi ndani ya muungano bila idhini ya vikao mahsusi vya CCM, kama nakumbuka vizuri wana CCM walijulishwa tu yale yaliyotokea huko Zenj.
Nasema hivi kwa uchungu tu.
Inabidi tuwe wakeli ili tujue tatizo letu liko wapi.
KURA YA SIRI- itawabeba hata wale wana CCM waliochoshwa na mwenendo huu wa kisiasa, ni kama referendum ya kisiasa kwa uhai wa chama.
Mbaya zaidi kura ya siri itarudisha serikali ya Tanganyika, hilo ni wazi.
Kura ya siri ikipigwa na mjumbe haina athari ya kuchukuliwa hatua na chama, lakini ndicho atakacho kuwa nacho mtu moyoni.
Tuwe wakweli.