shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
- Kiongozi mzima wa wananchi mwenye akili timamu kuogopa kupiga kura ya wazi? I become a coward unfit to lead kaka huwezi kuwa kiongozi wa Taifa ukaanza kulilia kura za siri hufai ondoka kwenye uongozi mara moja waachie wanaoweza kusimama wahesabiwe!! na wapo wengi tu!!
Le Mutuz
Msamba sana huyu jamaa kila kitu marekani marekani wakati hata huko mashuleni tu wanatumia ballotbox, huyo kutetea ubwabwa mbona hana noma, kama kitila mkumbo vile
- Kaka kama unataka kunijadili kuwa ni mtoto wa nje au ndani fungua thread yake, hapa haihusu nasema hivi wabunge wote wanaolilia kura za siri waondoke huko Dodoma now, kura ya kuandika katiba inapigwa kwa siri alikwambia nani na wapi uliwahi kusikia imetokea hapa Duniani?
- Wale wote wasiotaka kura za wazi ni cowards sio viongozi waondoke huko Dodoma now!!
Le Mutuz
- Kaka hii sio mada ya ushoga ukitaka kujadili ushoga fungua thread yake, hapa ninasema hivi Duniani hakuna katiba iliyowahi kuandikwa kwa siri, na wewe ni coward unaogopa kusimama na kuhesabiwa hufai cowards!!
Le Mutuz
Kaka inatosha keshajifunza huyu.
ccm ndiyo iliyotufikisha hapo!!!! ccm imeasisi siasa za vitisho na kung' oana meno na kucha bila ganzi!!!
Kwani kinachojadiliwa si ni kupiga Kura au ni majadiliano ya katiba?... mbona unashindwa kuielewa mada uliyoanzisha mwenyewe.
Ina maana hapo bungeni hujui kilichawapeleka ni kujadili,kutathmini na kuziba mapengo ya draft ya katiba ili kutoa final draft.
Halafu matokeo ya kura ya siri huwekwa wazi.
Msamba sana huyu jamaa kila kitu marekani marekani wakati hata huko mashuleni tu wanatumia ballotbox, huyo kutetea ubwabwa mbona hana noma, kama kitila mkumbo vile
Hahahaha huyu jama nahisi sio mzima.
Mkuu mimi ni mwana CCM lakini katka hili CCM is fighting a losing battle.- I have no side but as a man will never cry for a secret ballot WHY? What I am scared off?
Le Mutuz
- Kaka kama unataka kunijadili kuwa ni mtoto wa nje au ndani fungua thread yake, hapa haihusu nasema hivi wabunge wote wanaolilia kura za siri waondoke huko Dodoma now, kura ya kuandika katiba inapigwa kwa siri alikwambia nani na wapi uliwahi kusikia imetokea hapa Duniani?
- Wale wote wasiotaka kura za wazi ni cowards sio viongozi waondoke huko Dodoma now!!
Le Mutuz
Kuna jambo lolote wewe umewahi kutofautiana na ma ccm wenzako hata kama halina maana ktk jamii?wewe ni bendera fuata upepo kubembeleza cheo.Sheria kusainiwa kuna kura pale?maana ni maamuzi ya rais pekee kwa mamlaka aliyopewa baada ya kupita sehemu mbalimbali na hata museveni alikua ana refer research zilizofanyika juu ya ushoga- Kaka ungekuwa Museveni ungefanya nini na ile sheria mpya? Ungeisaini kwa siri?
Le Mutuz
Inapofikia hapa mimi huwa nawaona CCM kama sio binadamu vile...
Hivi unaweza ukashurutisha watu wafuate matakwa ya chama badala ya maoni yao binafsi kuhusu katiba mpya?
Ni juzi tu mmemfukuza uanachama Mansour Himid kisa amesema haungi mkono serikali mbili, Leo mnataka kura iwe wazi ili asiyeunga mkono hiyo sera yenu mfukuze uanachama!??
Kweli CCM mnatawala kwa nguvu, vitisho, hila na ghiliba.
Wiliam utapigwa laana na mama yako mdogo! Hukuona naye alipounga mkono suala la kura ya siri? Naye ni coward?
Hivi linapokuja suala la kupiga kura, kuna haja gani ya kujua nani kachagua nini!? issue ni wengi wape. Lakini kwa sasa, CCM (na CHADEMA!?) wanataka kuwatisha wale wote wenye mpango wa kwenda kinyume na maamuzi ya chama (though yaliyoamuliwa na wateule wachache), na hapo ndipo kura ya wazi inapigiwa chapuo
Issue ya uoga ni kweli - watu wanaogopa kuwekewa kinyongo na chama; na mwisho wake wanyimwe nafasi za kugombea ubunge mwaka kesho
Mimi sasa nimebadilisha msimamo. .. seriously. Nataka kura ya wazi. Tutakuwa tunatiki hapa, nani anawakilisha wananchi na nani anawakilisha chama. ..
- Ninawazungumzima wabunge wote wanaolilia kura za siri huko Dodoma kuwa hawafai ni cowards, huelewi nini hapa kaka?
Le Mutuz