Wachache sana tunaelewa kinachoendelea

Maisha tuliokulia sisi vijana wa zaman ilikua ni burudani sana kwa kweli[emoji1]
 
Hayo malighafi upatikanaji wake ni kwenye shamba la shule maana tuliamini hakuna mitego ya kunasa wezi au kwenye shamba la mzee mtata wa kijiji, kujiamini kwake kutoibiwa ndo ilikuwa nafuu yetu kufukua matuta ya katikati.
 
Baba hapo tumeenda kuchunga ng'ombe
Mauji kama hayo ni lazima tena tulikua tunatumia mavi ya ng'ombe kuchomea
Ikibidi tunamtafuta ng'ombe anaetoa maziwa tunamkamua maziwa tunakunywa na viazi[emoji41]
Daaaaah yani ww ni mwenzangu kabisa yn.......yn tukienda pori lazma tupitie matuta mawili matatu kutia baraka kidogo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…