Wachache sana tunaelewa kinachoendelea

Wachache sana tunaelewa kinachoendelea

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,754
Reaction score
8,750
Yani ukitoa mimi.....bs hamzidi kumi humu ndani mnaoelewa whats' going on there......na kupitia maisha hayo
FB_IMG_1527246799133.jpg
 
Maisha tuliokulia sisi vijana wa zaman ilikua ni burudani sana kwa kweli[emoji1]
 
Hayo malighafi upatikanaji wake ni kwenye shamba la shule maana tuliamini hakuna mitego ya kunasa wezi au kwenye shamba la mzee mtata wa kijiji, kujiamini kwake kutoibiwa ndo ilikuwa nafuu yetu kufukua matuta ya katikati.
 
Baba hapo tumeenda kuchunga ng'ombe
Mauji kama hayo ni lazima tena tulikua tunatumia mavi ya ng'ombe kuchomea
Ikibidi tunamtafuta ng'ombe anaetoa maziwa tunamkamua maziwa tunakunywa na viazi[emoji41]
Daaaaah yani ww ni mwenzangu kabisa yn.......yn tukienda pori lazma tupitie matuta mawili matatu kutia baraka kidogo.....
 
Back
Top Bottom