Wachache wanaojitoa kuelezea mapungufu ya Magufuli, wana msaada mkubwa kwa Taifa kuliko mamia au maelfu walio huru kueleza mazuri yake

Wachache wanaojitoa kuelezea mapungufu ya Magufuli, wana msaada mkubwa kwa Taifa kuliko mamia au maelfu walio huru kueleza mazuri yake

Haya maneno hayana ushahidi wowote. Na kama yametokea haya matukio ni ya kusikitisha ila sio ya ajabu, hata nchi zingine yanatokea. Mfano wewe kama una mtu unadhani ni mbaya wako na likakutokea jambo baya ni rahisi kumnyooshea kidole mbaya wako hata kama sio yeye...
Zamani yalikuwa yanachunguzwa,,,,,,,,,na wahusika wanakamatwa
 
Mshakatwa mikono nyinyi! Aliyewapa jeuri, ndiyo huyu tunaye mpumzisha jioni ya leo. Nyinyi uvccm wenyewe wa kipindi hiki ni mlenda mlenda tu! Mtamfanya nini huyo Lissu siku ya kurudi?

Mtaweza kweli kupambana na wale walinzi wake? 💪
Hamna haja ya kuongea mengi, muda utaongea.
 
Mmeaibika!! Wote wenye chuki na marehemu Dr Magufuli wamelazimika kuushuhudia ukweli kuwa Magufuli alikuwa anapendwa Sana!! Ukijikuta unamchukia mtu anayependa na watu wengi inabidi ukubali kujiangalia upya!!

Lazima wewe utakuwa ndio mwenye matatizo. Waswahili wanasema nyani halioni kundule!! Salary slip jitafakari!!!
 
Mmeaibika!! Wote wenye chuki na marehemu Dr Magufuli wamelazimika kuushuhudia ukweli kuwa Magufuli alikuwa anapendwa Sana!! Ukijikuta unamchukia mtu anayependa na watu wengi inabidi ukubali kujiangalia upya!! Lazima wewe utakuwa ndio mwenye matatizo. Waswahili wanasema nyani halioni kundule!! Salary slip jitafakari!!!
MATAGA wazito sana kuelewa!!
 
Tutawasema tu, maana wengine uwezo wao wa kufikiri umegota, mimi kwa upande wangu awamu hii ya 5 imeongeza nyama za kutosha kwenye kitabu changu cha ujasriamali ambapo tulijifunza/wanajifunza kwamba asilimia 80% ya mafanikio kwenye biashara yoyote ile yanategemea'personal qualitties' yaani namna unavyo enenda kwenye biashara, cha ajabu asilimia 20% iliyobaki inanguvu zaidi kwenye kuua biashara
 
Kiimani tunaambiwa hivi, kwanini Wanawake watakuwa wengi sana Motoni? Tukapewa sababu ya kuwa :

1. Wamekithirisha sana mashtaka na
2. Wengi hukufuru neema za waume zao. Hapa nataka nikupe somo mtoa mada kwa kutoa sherehe fupi ya nukta hii. Tulipoambiwa ya kuwa hukufuru neema za waume zao, ni kwa maana ya kuwa unaweza kumfanyia mema mia, ila ukamkosea kwa makosa mawili au machache, basi yale mema yote kwake yanakuwa si chochote. Utawasikia "Mwanaume gani wewe huna jema lolote" ,ukiangalia wewe ndiyo unamlisha na kumvisha na kumfanyia mema mengine mengi.

Kwenye nukta ya msingi ni kila mwanadamu ni mkosaji, na mbora wa wakosaji ni yule mwenye kufanya toba.

Shida yenu wakosoaji wengi mnachupa mipaka na si waadilifu, kwa ufupi mna tabia ya kike (Ya wanawake wa Motoni) ambayo nimeitaja hapo juu. Sasa mnatakiwa mjirekebishe na mbadilike.
 
Hizi kejeli zote zina mwisho, tutamzika shujaa wetu then tutahakikisha kila mtu anapata stahili yake iliyo halali, Lissu anarudi lini Tanzania na yeye apate stahili yake?
Jambazi na sadist lipo futi 6 chini.
Tanzania imeokolewa.
 
Back
Top Bottom