juzi tumepeleka msiba kiraracha,
kweli korona inazidi kusambaa kwa kusafirisha miili.hatari sana.
jamani watanzania wenzangu wenye magonjwa kama;
1. KISUKARI
2. UKIMWI
3. SARATANI
4. KIFUA KIKUU
5. CELI MUNDU
Chukueni tahadhari hili wimbi la tatu lina puputisha balaa, aise.