#COVID19 Wachaga acheni kusafirisha maiti kwenda Kilimanjaro, mnachochea maambukizi ya Corona

#COVID19 Wachaga acheni kusafirisha maiti kwenda Kilimanjaro, mnachochea maambukizi ya Corona

Wachukue taadhari gani?
juzi tumepeleka msiba kiraracha,
kweli korona inazidi kusambaa kwa kusafirisha miili.hatari sana.

jamani watanzania wenzangu wenye magonjwa kama;
1. KISUKARI
2. UKIMWI
3. SARATANI
4. KIFUA KIKUU
5. CELI MUNDU
Chukueni tahadhari hili wimbi la tatu lina puputisha balaa, aise.
 
Acha undezi, korona haiwezi kutuua Wachagga wote, wala isiwe kichocheo cha kuharibu mila na tamaduni zetu
Bujibuji kumbe wwe ni Shemeji yangu, ndiyo maana uko kwa Bwana yule wa Ugaidini!! Hahahaha!!
 
Covid inawaandama Sana wachaga huo ndo ukweli, huku niliko kwa sasa wachaga wanadondoka mno, hadi huruma Yani, yaweza kuwa ulaji wao ama utafutaji huongeza stress ktk akili hivyo kufanya mwili uwe katika hatari ya kupata kisukari ama shinikizo la damu
 
Back
Top Bottom