Wachaga acheni pombe

Wachaga acheni pombe

Wachaga kufeni au mbadilike
210403-devin-carter-stockton-mb-1549.jpg
 
Mm mpak na maliza chuo kikuu sikuwai na niliweka nadhiri sito kunywa pombe 🤓 🤠 na laiti kama mambo yange enda kama nilivyo yapanga Mimi nusinge kuja onja pombe ila kuingia mtaan nika Kuta it's vise versa Nika Anza jifunza kunywa Ili niupate usingizi....
 
Mpumbavu kabisa hili jamaa. Hawa ndio wale wanaologwa na kuanza kuokota makopo. Anafatilia sana ya wachaga

Ahahah niloge na uchawi wa kibosho [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naenda toroka uje mitaa ya moroco kupata ugali mbuzi choma. Narudi sinza kijiweni nitakuwep mpaka saa mbili usiku kama unajiamini uje utanikuta ninakusubiri. .

Lefa atakuwa nani? [emoji23][emoji23]
 
Mm mpak na maliza chuo kikuu sikuwai na niliweka nadhiri sito kunywa pombe [emoji851] [emoji1783] na laiti kama mambo yange enda kama nilivyo yapanga Mimi nusinge kuja onja pombe ila kuingia mtaan nika Kuta it's vise versa Nika Anza jifunza kunywa Ili niupate usingizi....

[emoji23][emoji23][emoji23] haya wachaga hawawezi kuacha njia yao hata ukimbie vipi [emoji23][emoji23]
 
Sijawai kua mlev mm sio mlevi ni nnywaji tena very calculated[emoji851][emoji851][emoji851][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji3526][emoji3526][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji485][emoji485][emoji485][emoji485][emoji3061][emoji3061]

[emoji23][emoji23][emoji23] sawa kaka
 
It's a science [emoji3457][emoji3457] maana mpk ukoo mzima hujui kua unakunywaga sometimes [emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23] ila watakuja kujua tu weww jichanganye
 
Back
Top Bottom