Wachaga acheni pombe

Wachaga acheni pombe

C5189E19-48B5-4D78-8AE0-1CDA005563F3.jpeg
 
Acha wamwagilie moyo bhana Kila mtu na maisha yake wengine ndio starehe zao
Nashangaa huyu meleta mada anaka nyumba choo na bafu ni humo humour wanaingia kwa foleni. Haijulikani anayeenda kunya wala kuoga. Ukibanwa na mavi uanze kutia huruma wenzako wakuruhusu ukate foleni ukakate gogo🤬🤬🤬

azungumzie walevi waache pombe sio kusema wachaga ni walevi.

Kama anajiamini aje hapa sinza kijiweni aje na bodaboda nitailipia 🤬
 
Hivi ulanzi, mnazi, togwa huwa zinapatikana moshi?

Ushawahi ona mtu kanywa mbege kachakaa?

Hawa wanywa pombe wote huko Road ni wachaga? acheni chuki za kipuuzi kutuchafua

Ulanzi kwa wahehe ndio waasisi japo ipo hadi mbeya na njombe, Mbege asili yake uchagani japo ipo hadi kwa waha huko, mnazi ipo mikoa ya pwani, Rubisi ipo kagera huko, kayoga ipo kwa waha huko kigoma, gongo iko maeneo yote, kimpumu nayo ni pombe, wanzuki iko maeneo karibu yote, kuna komoni ile pombe ya mahindi yanchachuliwa, kuna pombe ya mtama niliikuta mkoa wa songwe, wanywaji wa pombe sio wachaga tu pombe hutumika kama refreshment kwa wanaume na zamani iliwakusanya wanaume kwa mazungumzo mbalimbali baada ya kazi, hivo kwa kua mnywaji haumnunulii pombe nikukaa kimya tu maisha yaendelee
 
Kweli kabisa fact💯
Katuvunjia heshima wachaga. Nampa masaa 3 aombe msamaha. Natema mate chini yakikauka atakiona🤬
 
Mleta mada kama unajiamini nakusubiri hapa sinza kijiweni[emoji2959]

Unachati huko ghetto kwako unalala chini hata kitanda huna alafu unasema wachaga walevi

Hivi tunalewa kwa hela zako? ulishawahi kutununulia pombe?

[emoji23][emoji23][emoji23] ww unataka ulewe nani akubebe lala kwenu uko
 
Kwenye kikao cha wanaune tulikubaliana ukikuta mtu anaumwagilia moyo ama anatumia kulipia mbunye tumuache maana hatujui hiyo hela kapata kivip ...kuna watu wanapata tabu sana kuapta hiyo pesa sasa akitaka kujipongeza kidogo tunaaanza maneno ..hebu tufate taratibu ya vikao .

Sawa mkuu
 
Kuna mmoja niliwahi kusafiri nae Moshi-Dar yaani wakati abiria wenzake wanajipoza na maji, juice, soda na take away zingine yeye alikuwa na konyagi kubwa anakunywa taratiibu jicho safari nzima jicho limeiva kama nyanya
Mwache anatumia pesa yake

Mbona ukinywa soda hawakusumbui?

Mnajifanya watakatifu kumbe wafiraji wakubwa
 
Back
Top Bottom