Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa huyu meleta mada anaka nyumba choo na bafu ni humo humour wanaingia kwa foleni. Haijulikani anayeenda kunya wala kuoga. Ukibanwa na mavi uanze kutia huruma wenzako wakuruhusu ukate foleni ukakate gogo🤬🤬🤬Acha wamwagilie moyo bhana Kila mtu na maisha yake wengine ndio starehe zao
Hivi ulanzi, mnazi, togwa huwa zinapatikana moshi?
Ushawahi ona mtu kanywa mbege kachakaa?
Hawa wanywa pombe wote huko Road ni wachaga? acheni chuki za kipuuzi kutuchafua
Kweli kabisa fact💯Ulanzi kwa wahehe ndio waasisi japo ipo hadi mbeya na njombe, Mbege asili yake uchagani japo ipo hadi kwa waha huko, mnazi ipo mikoa ya pwani, Rubisi ipo kagera huko, kayoga ipo kwa waha huko kigoma, gongo iko maeneo yote, kimpumu nayo ni pombe, wanzuki iko maeneo karibu yote, kuna komoni ile pombe ya mahindi yanchachuliwa, kuna pombe ya mtama niliikuta mkoa wa songwe, wanywaji wa pombe sio wachaga tu pombe hutumika kama refreshment kwa wanaume na zamani iliwakusanya wanaume kwa mazungumzo mbalimbali baada ya kazi, hivo kwa kua mnywaji haumnunulii pombe nikukaa kimya tu maisha yaendelee
Kuna mmoja niliwahi kusafiri nae Moshi-Dar yaani wakati abiria wenzake wanajipoza na maji, juice, soda na take away zingine yeye alikuwa na konyagi kubwa anakunywa taratiibu jicho safari nzima jicho limeiva kama nyanya
Hivi ulanzi, mnazi, togwa huwa zinapatikana moshi?
Ushawahi ona mtu kanywa mbege kachakaa?
Hawa wanywa pombe wote huko Road ni wachaga? acheni chuki za kipuuzi kutuchafua
Mleta mada kama unajiamini nakusubiri hapa sinza kijiweni[emoji2959]
Unachati huko ghetto kwako unalala chini hata kitanda huna alafu unasema wachaga walevi
Hivi tunalewa kwa hela zako? ulishawahi kutununulia pombe?
Ungetafuta vitunguu uunge mbogaKuna mmoja niliwahi kusafiri nae Moshi-Dar yaani wakati abiria wenzake wanajipoza na maji, juice, soda na take away zingine yeye alikuwa na konyagi kubwa anakunywa taratiibu jicho safari nzima jicho limeiva kama nyanya
Unajiita Johnnie Walker unajua maana ya John walker?[emoji23][emoji23][emoji23] ww unataka ulewe nani akubebe lala kwenu uko
Kweli kabisa fact[emoji817]
Katuvunjia heshima wachaga. Nampa masaa 3 aombe msamaha. Natema mate chini yakikauka atakiona[emoji2959]
Kwenye kikao cha wanaune tulikubaliana ukikuta mtu anaumwagilia moyo ama anatumia kulipia mbunye tumuache maana hatujui hiyo hela kapata kivip ...kuna watu wanapata tabu sana kuapta hiyo pesa sasa akitaka kujipongeza kidogo tunaaanza maneno ..hebu tufate taratibu ya vikao .
Acha kufatilia maisha ya watu hao ndio wainua uchumi
Walikufata kukuomba hela ya kunywa hizo pombe matako ya fisi weweSio kila unachofanya wewe na wenzio wanafanya
Hiki ndicho unachokitafutaAhahah sitaki acheni pombe kunywa mchana pombe hainywei mchna [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwache anatumia pesa yakeKuna mmoja niliwahi kusafiri nae Moshi-Dar yaani wakati abiria wenzake wanajipoza na maji, juice, soda na take away zingine yeye alikuwa na konyagi kubwa anakunywa taratiibu jicho safari nzima jicho limeiva kama nyanya