Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #81
Ambazo zimeshindwa kujenga fikra zako na kuanza kufatilia mambo ya watu?!!
Utakuwa punga wewe nimereview post zako sio riziki wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mmoja niliwahi kusafiri nae Moshi-Dar yaani wakati abiria wenzake wanajipoza na maji, juice, soda na take away zingine yeye alikuwa na konyagi kubwa anakunywa taratiibu jicho safari nzima jicho limeiva kama nyanya
Uchumi wa anaemiliki bar..Uchumi upi wa pombe au kuiba [emoji23][emoji23]
Umasikini mbaya sana tafuta hela nani alikwambia pombe ni Usiku tu
Uchumi wa anaemiliki bar..
Au bar sio yako
Hahaha [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna wengine humu wanacoment huku wana shushia..
🤓🤓🤓🍷🍷🍷🥴🥴🥴Mmoja wapo wew
Ivi wachaga mna nini hasa au mlitupiwa jini vuta picha jua kali kama hili mtu anakunywa k vant na konyagi anatafuta nini
Acheni kujiendekez pombe sio dili walevi wote washamba tu
Wewe umejuaje kuwa ni mchaga mkuu?
Atakuwa ameelewa nowHuyu dogo analeta dharau anaweza asiamke kesho.
Achunge sana naweza nen na wazee akamwagika kama uji barabarani. Nimeshamuonya🤬
Huyu dogo analeta dharau anaweza asiamke kesho.
Achunge sana naweza nen na wazee akamwagika kama uji barabarani. Nimeshamuonya[emoji2959]
Mbona unanisema kwa watu[emoji23][emoji23] tunza siri wewe kijanaKuna mmoja niliwahi kusafiri nae Moshi-Dar yaani wakati abiria wenzake wanajipoza na maji, juice, soda na take away zingine yeye alikuwa na konyagi kubwa anakunywa taratiibu jicho safari nzima jicho limeiva kama nyanya
Zangu nikiwa safarini zile kuku na nyama za kwenye bus stop kwa ajili ya lunch uwa siri,nanunua konyagiMbona unanisema kwa watu[emoji23][emoji23] tunza siri wewe kijana
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app