Wachaga bana " punguzeni bei za kulipa mahariiii" Negotiation lazimaaa!!!

Wachaga bana " punguzeni bei za kulipa mahariiii" Negotiation lazimaaa!!!

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Nimepata TOTO la kichaga na amenihakikishia kuwa yeye yale mambo ya kikubwa hajapitia meanz ni BK, mila za kichaga ni kwamba lazima upigwe cha juu kama mtoto wao ni BK, hesabu za fasta fasta natakiwa kulipa kama million 4 na ushee. Je wapendwa ninunue corola au nikawape wachaga waendeleze biashara ya kitimoto? Ushauri plz. Ila mamaa roho yangu imemdondokea na ningependa tuunganishe vikojoleo...!?
 
Wanajua huko akija ni kukuzalishia profit ndo maana wanakomaa na hiyo pride price.... usikonde hiyo colora inaweeza zaa benzi jikunje tu uchukue hicho kitu cha kichaga. i ensure you within 6 months kam umejipanga poa im sure utakuwa na uwezo wa kuchukua hata benz ila kikubwa uwe umeshajipanga.. they know maisha ukiacha yale mambo ya 6x6 ambayo kimsingi wewe ndo unapashwa kuwa head teacher!!!
 
achana naye piga lapa mbele wewe milioni nne zote ukalipe .. au kitu hakijaguswa nini?
 
Gharama ya kutunza BK ni kubwa kuliko hiyo 4m, wewe kama unauwezo wa kulipa 4m lipa tu ila kama huna uwezo tafadhali usiende kukopa wachagga ni waelewa sana ongea nao watakupa discount. Pia kama umejiandaa kuchakarika basi baada ya kuoa nakupa miaka miwili mambo yako yatakuwa supa ila uwe umejiandaa siyo usubiri yeye aje kukutafutia. Inaelekea soko la mabinti wa kichagga ni kubwa sana kwa sasa, ila nashauri makabili mengine wajitahidi kupeleka watoto wa kike mashuleni na kuhakikisha wanafauli vizuri, wasichana wa kichagga wanafanya vizuri sana mashuleni ndio maana soko lao linazidi kuwa kubwa.
 
mmmh.....kumekucha....wachagga again......
 
kaka unaibiwa wew bikra leo? chunguza upande wa pili waweza kuta umetumika vibaya mnoooooo. m4 kaka unanunua bajaji au tehe kakaaaa usijeliwa mchana kweupeeeeeee
 
Co mbaya kwani ndani ya miaka ya ndoa utafungua biashara ya kuuza ndizi
 
jamani! mwanza jeeeeeee
Gharama ya kutunza BK ni kubwa kuliko hiyo 4m, wewe kama unauwezo wa kulipa 4m lipa tu ila kama huna uwezo tafadhali usiende kukopa wachagga ni waelewa sana ongea nao watakupa discount. Pia kama umejiandaa kuchakarika basi baada ya kuoa nakupa miaka miwili mambo yako yatakuwa supa ila uwe umejiandaa siyo usubiri yeye aje kukutafutia. Inaelekea soko la mabinti wa kichagga ni kubwa sana kwa sasa, ila nashauri makabili mengine wajitahidi kupeleka watoto wa kike mashuleni na kuhakikisha wanafauli vizuri, wasichana wa kichagga wanafanya vizuri sana mashuleni ndio maana soko lao linazidi kuwa kubwa.
 
Sio kweli,mahari za kichaga hutoi hela unapangiwa vitu vya kuleta ikiwepo blanket,madebe kadhaa ya mbege ,chakula pamoja na mbuzi mdogo asiyezaa kuonyesha mtoto wao ni mzima(au BK)otherwise hao waliokuambia utoe pesa si wachaga ni waigizaji tu.
 
Mi sioni tatizo, kama unampenda sana basi mil4 kitugani, watu wanahonga ma Swift, RVR, mpaka Benzi.....jitose tu kaka.
Alafu Corolla yenyewe second hand si beta mtoto BK wa kichagga (first hand)!!🙂
 
Wachagga hoyeeeee!!!
Tunawependa sana.
 
Kunakuaga na kulala basi linapokuja swala la waChagga!!Yani ni asubuhi..mchana na usiku hawalali bado wanaongea tu!!!
Lizzy usikwazike my dear!SIO HAPA jf tu ila popote wachaga wachaga, hushangani hata wahindi wanajua salam za kichaga?wachaga mumeenea kote tz kwa hiyo nirahisi mtu kuwasemea.Mimi baba Mngoni mama mchaga nani atatoa comment ya wangoni?waarabu kila saa wanataja WAMAREKENI WAMAREKANIIIII, wabongo wachagaa wachaggaaa

WACHAGGA WANAMAHARI SIMPO KULIKO KAWA, mkungu wa ndizi,maziwa+mbege ndoo mmoja+kanga na mablanketi jamani huko kanda ya ziwa kuna mahari mpaka utakomaa kuoa.
 
BTW:Vipi mmasai wako Marytina mmefikia wapi?
 
Wachagga tena..........

Mwingine akafungue sredi nyingine kule...hii inakaribia kuisha.
 
Mambo yote Bukoba, karibuni sana.... Si mnajua totoz za kihaya zilivyo bomba? But usijekuoa kwe2 kama huna kitu.
 
unaweza kuwa taahira bila kujua. wakati mwingine unakuta mataahira yanafikiri wengine wote ni mataahira kama yenyewe.
 
Back
Top Bottom