Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi sasa chuki binafsiWanaongoza kutafuta sifa mitandaoni
Kiukweli, hata ufanyeje, kitakachokuwa, kitakuwa, hata ufanyeje.Ndugu zangu wachaga nawaandikieni kwa uchungu mkubwa. Mkiendekeza speed barabaran mjjandae na matokeo yake. Wiki mbili tumezika vijana yalata 8 kwa ajali. Yawafaa nn?
View attachment 2041879
Uwe unatembea direction opposite na magari yanapokwenda utakuja ufe kizembe kaka.Kama Hawa boda boda wao wanavurugu Sana mwendo mkali ,misauti ya piki piki mikubwa .
Leo mida ya saa mbili hapa mwanama nimepigwa na side mirror ya gari ,jamaa na kiaist chake kimenifata kabisa upande wa watembea kwa miguu alikuwa speed ,bahati nzuri side mirror Yake mbovu imenigusa kidogo tu imejikunja lkn mauvi yake kama nimepigwa Kofi zito
Yatosha uwe ujumbe kwa wote wanaotumia vyombo vya moto kuelekea mwishoni mwa mwaka ajali huwa nyingi sana.Familia,ndg,taifa wa/linakutegemea ukoa maisha yako na ya mwingine pia.Ndugu zangu wachaga nawaandikieni kwa uchungu mkubwa. Mkiendekeza speed barabaran mjjandae na matokeo yake. Wiki mbili tumezika vijana yalata 8 kwa ajali. Yawafaa nn?
View attachment 2041879
Hilo nalo neno. Ukiendesha mdogo mdogo hakuna neno. Tatizo ni pale unapotaka kufuta kusahani huku uzoefu hakuna.Mwaka mzima unashinda dukani, eti December unataka udrive hadi Moshi.