Wachaga endekezeni speed barabarani, mtakwisha!

Wachaga endekezeni speed barabarani, mtakwisha!

Hata wewe hapo hutaishi milele.

Sasa kwanini ukiugua unaenda hospitali?

Kwanini ukiwa unatembea barabarani, umatembea pembeni na siyo katikati kwenye njia ya magari.

Kwanini ukitaka kuvuka barabara unaangalia kulia na kushoto na kama hakuna magari ndio unavuka.

Haya yote unafanya ya nini wakati kama ni KUFA UTAKUFA tu?
Kwahyo ajali za barabarani ni wachaga tu? Narrowed minds
 
Ajali nyingi zinatokana na uzembe sio speed peke yake
Hili mie naweza nikakubaliana nawewe kwa asilimia 100% ajali nyingi ni matokeo ya ku loose control ya magari na hii yote ni sababu ya kupenda overtake za ajabu ajabu tu😎!

Mtu anaona kuna gari inakuja upande wake anabet eti akate semi 3 halafu atoke kabla gari ya upande wake haijafika! Hio huwa ni ngumu sana kutoboa hasa ukiwa na mgari wa diesel au engine yenye horsepower ndogo on full throttle!

Ni muhimu sana pia kujua hali ya chombo chako, means uwe umekizoea kimatumizi na mwenendo wake. Mie kabla ya kusafiri hata na gari ngeni huwa lazima nizunguke zunguke nayo kwanza niangalie aerodynamics zake. Ukamataji wa brakes pia, Cornering ikoje, Sio unaazima gari tu unasafiria huelewi.
 
Eti ni kweli wachaga wanaongoza kwa kuazima/kukodisha magari ili waende nayo kilimanjaro kwa maonyesho?
💯💯

Wengine huwa yakipata ajali wakapona huwa wanalia mpaka kamasi.

Maana wakodishaji wengine ukitoa 500,000 yako kwa wiki, gari lirudishwe kama ulivyolichukua.

Likipata hitilafu, hilo ni lako.
 
MTOA MADA NAPENDA KUKUMBUSHA YAFUATAYO:


AJALI IKITOKEA; KUNA

1. AJIRA KWA WATU WA GEREJI(KUMBUKA HAWATENGENEZI GARI NZIMA KULE)
2. KUNA KAZI KWA WATU WA BIMA
3. KUNA KAZI KWA BREAKDOWN/ CRANE
4. KUNA KAZI KWA HOSPITALI/NA WAUZA MADAWA
5. KUNA FURSA KWA WAUZAJI MAJENEZA
6. KUNA FURSA KWA WACHUNGAJI WANAO KUJA KUZIKA (WANAPEWA POSHO)
7. KUNA FURSA KWA WAAGIZAJI MAGARI
8. KUNA FURSA KWA VIBAKA PIA
9. ............
10 ............
11 ..............



KILA ULIFANYALO NI FURSA KWA WENGINE
USISIKITIKE SANA MKUU, UNAWEZA ZUIA FURSA KWA WENGINE NA HUU SIO UZALENDO WETU WATZ
UKIWEZA FUTA TU NA HUU UZI WAKO.
 
MTOA MADA NAPENDA KUKUMBUSHA YAFUATAYO:


AJALI IKITOKEA; KUNA

1. AJILA KWA WATU WA GEREJI(KUMBUKA HAWATENGENEZI GARI NZIMA KULE)
2. KUNA KAZI KWA WATU WA YA BIMA
3. KUNA KAZI KWA BREAKDOWN/ CRANE
4. KUNA KAZI KWA HOSPITALI/NA WAUZA MADAWA
5. KUNA FURSA KWA WAUZAJI MAJENEZA
6. KUNA FURSA KWA WACHUNGAJI WANAO KUJA KUZIKA (WANAPEWA POSHO)
7. KUNA FURSA KWA WAAGIZAJI MAGARI
8. KUNA FURSA KWA VIBAKA PIA
9. ............
10 ............
11 ..............



KILA ULIFANYALO NI FURSA KWA WENGINE
USISIKITIKE SANA MKUU, UNAWEZA ZUIA FURSA KWA WENGINE NA HUU SIO UZALENDO WETU WATZ
UKIWEZA FUTA TU NA HUU UZI WAKO.

The most stupid argument of the year
 
Ofcourse. Na si jambo baya. Kusafiri na gari binafsi kipindi hiki ruti ya dar Arusha ni nafuu kuliko kupanda basi na familia. Na kukodi gari si jambo baya ni swala la unafuu tu.
 
UBISHI UNAPONZA
(1) Dar-Himo natumia masaa 8 tu,
(2) mengi sana, mi natumia 6 tu.
(3) hamfai, masaa 4 tu yanatosha, nasahau na safari...

Kifuatacho! NIAGIENI
 
Mmh..Leo Kama sio kuruka..ningekuwa nimelala au nimekufa!

Boda boda zitatumaliza..
Kwahiyo umekikimbia kifo.Ukijiona ulipata akili na maamuzi yakufanya hayo yakujinusuru na ukafanikiwa jua haikua imepangika uzurike maana ikiwa imepangika utajikuta tu aidha kitandani au juu mawinguni mwili ukiwa umeuacha ndani ya droo lenye baridi.pole sana.
 
Back
Top Bottom