Wachaga endekezeni speed barabarani, mtakwisha!

Wachaga endekezeni speed barabarani, mtakwisha!

wachagga wana mtindo wa kutaka sifa wanapoenda moshi anajua njiani atampita masawe mbele atamkuta lyimo na wengine wengi sasa akiwapita kwa speedi anajua watamtaja tu haaa jamani mmemuona mushi alivyotupita huyu yupo vizuri basi akisifiwa hivyo kichwa hilo . wachaga kila sehemu hupenda sifa tweeter wamejaa wao tuu kila kona kumsema makufuli
😀 "Majufuli"
 
Kuna watu wako hai right now as you bring this concern lakini kabla ya tarehe kama hizi mwezi ujao yaani Januari 2022 kuna watu watakuwa hawapo tena , watakuwa wamepoteza/watapotezwa maisha yao sababu tu ya ajali za barabarani zitokanazo na mwendokasi na uzembe kwa ujumla.

Chukueni tahadhari nendeni pole pole kwa usalama akwambiae akupenda.

Mleta mada mimi nimekuelewa vizuri sana.
 
Mkiambiwa ukweli mnaanza kuleta ukabila vijana wetu wa kichaga punguzeni Mwendo wazazi tunawahitaji sana .sisi wazee wenu mmetukuta na toyota pickup Za kizamani Kungekuwa fafu msingetukuta, wana msingesoma nani angewasomesha kumbukeni Mnawatoto wadogo na wafamilia wenzenu wengi wameachq familia sababu ya vifo na ajali wengine wako Migombani ni vilema wa kudumu . Mkionywa anza kusema ukabila ni kweli vijana wetu wako rafu sana. usiposikia la Mkuu uvunjika Guu.
 
Kama Hawa boda boda wao wanavurugu Sana mwendo mkali ,misauti ya piki piki mikubwa .

Leo mida ya saa mbili hapa mwanama nimepigwa na side mirror ya gari ,jamaa na kiaist chake kimenifata kabisa upande wa watembea kwa miguu alikuwa speed ,bahati nzuri side mirror Yake mbovu imenigusa kidogo tu imejikunja lkn mauvi yake kama nimepigwa Kofi zito

Pole sana mkuu take it easy
 
Back
Top Bottom