Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Mchagga anajua KUUZA BAR, KITIMOTO na MADUKA.Wachagga ni watu wajanja, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.
Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?
Hwa ChaSaKa hawajitambu, nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
Wachaga we are blessed 🙏Wachagga ni watu wajanja, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.
Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?
Hwa ChaSaKa hawajitambu, nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
sehemu yeyote yenye biashara nzuri lazima ukute makabila yote yapo na siyo wachaga tuMbona wapo wengi huko
Nimekutana nao kadhaa wakichimba na wengine kuwekeza kwenye eneo la huduma
Hakuna mahali nimeenda Nchi hii, nisiwakute hao jamaa
Ni wapambanaji kiasilikuna
Mkuu punguza makasiriko 😁😁sehemu yeyote yenye biashara nzuri lazima ukute makabila yote yapo na siyo wachaga tu
Uchawi hauendi kwa mentaliUchawi wataweza? 😂 😂 😂
Ni sahihi, ila hao jamaa wamezidisehemu yeyote yenye biashara nzuri lazima ukute makabila yote yapo na siyo wachaga tu
Hatimae kumekucha😅
Twende kwenye MADINIHatimae kumekucha😅
Wachaga hiyo biashara wanaishindwa,kwa sababu biashara zao zote,zinategemea mikopo,na uchimbaji hakuna mikopo!
WANAUNGANA , KAMA WANAVYOFANYA KARIAKOO NA MIKOA MINGINE.Wataenda kuchimba hayo madini na meno ama mikono?
Juzi tu hapa mtu ANANIAMBIA kwa Sasa hata ukiwa na milioni 40 haitoshi kuanza biashara ya uchimbaji madini...
Labda angalau uwe broker