Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Umeshapona ugonjwa wako wa kuhara Mkuu
Ombaomba wapo, chawa wapo!Wachaga ni watu wajanja, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.
Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?
Nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
Wahindi na waarabu nao wameingia miaka hii mkuu, ila Wachina ndo wame-dominate, hakuna sehemu yenye gold nimeenda nikawakosa hawa Wachina, na wana kemikali zao ni balaa, wakiupitia mchanga hawaachi kitu,ukiupitia mchanga hupati hata point ya dhahabu.Hata wahindi na waarabu wana mitaji ila wanaiogopa hii biashara
Mambo mengine bana kama deal limenyooka si aende yeye.Mnama mbona umewaka bwashee 😅
Umenaliza kila kituUchimbaji wa sasa hivi umekuwa mgumu maradufu.
Uchimbaji wa sasa ume shift kutoka kwenye mtaji wa nguvu kwenda kwenye pesa.
Zamani mtaji ilikuwa ni sululu na chepe, ikaja kwenda mpaka kumiliki kipimo, kipimo kwenda hadi kumiliki Karasha.
Kwenye Karasha ni kama ni hatua ya mwishoni mwishoni ambayo nayo iko ukingoni kupitwa na wakati kama hizo hatua za mitaji zingine ambazo nimeziainisha ambazo kwa sasa sio mchongo tena.
Changamoto ya Karasha ni kupata eneo lenye mwamba mzuri unaotoa mawe mazuri na yenye consistency.
Lakini kwa jinsi nilivyoona hivi sasa ni kama watu wengi wanaonekana kuwekeza zaidi kwenye ellusion na plant.
Unadanganyakama wapo wachaga mashoga sembuse kuwa bodaboda? Munawasifia sana wana akili zipi kuwazidi wengine? Tushafanya nao biashara na tukawakimbiza
Sio kweliHata sio wivu ila sifa zikipitiliza huwa ni chukizo....wachaga ni wachuuzi tu kama sisi wengine
Hiyo kitu haipo mazee, jamaa amewashauri chaga's vizuri sana, ingawa ameiweka kiukabila.... lakini amewashauri uzuri sana.Uchawi wataweza? 😂 😂 😂
Hakuna uchawi kwenye sayansi bana....Wachaga walishachoka na utoaji kafara mereraniii ... somo liliwaingiaaa
Mkoa wowote mahali ambapo hapana mchagga jua pana changamotoo za kupata riziki
Huku Njombe mbona hawapo? Na kuna miti ya mbao ya kutosha, hawana uwezo wa kushindana kibiashara na wakingaWachaga ni watu wajanja, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.
Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?
Nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
Njombe ipi unayoizungumzia😁Huku Njombe mbona hawapo? Na kuna miti ya mbao ya kutosha, hawana uwezo wa kushindana kibiashara na wakinga
Huku Njombe mbona hawapo? Na kuna miti ya mbao ya kutosha, hawana uwezo wa kushindana kibiashara na wakinga
Yap, ndio Njombe, niambie pale tajiri hata mmoja mchaga.Njombe ipi unayoizungumzia😁
Haipiti wiki wasijadiliwe wachaga,
Ukatoliki
Uislamu
Basi wiki hiyo ni batili
Nitajie tajiri mmoja wa kichaga aliepo Njombe, nimeishi njombe naijua nje ndaniWapo wengi nawafahamu huko. Hakuna sehemu Mchagga hayupo. Mkinga kwa Mchagga ni mwanafunzi kwanza hata shule hawana.
Wakinga ndio wananunua magorofa kariakoo sasa hivi, ndio wafanyabiashara wakubwa Dar, kwa taarifa tuWapo wengi nawafahamu huko. Hakuna sehemu Mchagga hayupo. Mkinga kwa Mchagga ni mwanafunzi kwanza hata shule hawana.
Kwa nini iwe tajiri wa huko njombe awe mchaga? Binafsi nimenunua mashamba kibao njombe na nina rafiki zangu kibao wana hekari za kutosha za mitiYap, ndio Njombe, niambie pale tajiri hata mmoja mchaga.
Nani kabisha , unaleta bato za kipumbavu tuWakinga ndio wananunua magorofa kariakoo sasa hivi, ndio wafanyabiashara wakubwa Dar, kwa taarifa tu