Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Wiki hii nimekuwa busy kidogo, japo utakaponitumia ujumbe nitaona MkuuTuwasiliane mkuu hata PM tumalizie umri wote kwa heshima.
Wiki hii nimekuwa busy kidogo, japo utakaponitumia ujumbe nitaona MkuuTuwasiliane mkuu hata PM tumalizie umri wote kwa heshima.
Arusha na wachaga wapi na wapi? Wachaga gani wamempinga?Wachaga walitawala wakati ule kwasababu makabila mengi yalilala wakati huo wao walikuwa na mwanga,Ila kwasasa makabila mengi yashazinduka ndio maana msukuma makonda ambae ni kilaza anawatawala huko arusha.....vitoto vyao vinavyovuta bangi ambao makonda aliwaita vidudu halafu vyenyewe vinashangilia saivi wamegeukia ushoga ndio maana humu wachaga wengi wanampinga mno mamba na slogan yake ya LINDA MGONGO WAKO HALI NI MBAYA....kiukweli wachaga ile dhambi ya wizi na dhulma za wazazi wao saivi imewageukia watoto wao ndio wanalipia....mwaka jana tulikuwa arusha tukafika kijiwe kimoja tukawasalimia na kuwauliza ni wapi wananunua chuma Chakavu aiseee walicheka sana mpaka wengine wakaanguka chini kiukweli tulishangaa sana
Biashara ya mazao yanahitaji usiegemee zao moja pekee
Nimeshauri kama utakuwa na mtaji, kimbizana na fursa kadri ya upatikanaji zao na masoko yake
Msimu wa Ufuta, unaweza kwenda kununua ufuta na kuuza, ukija kwenye korosho pia hivyo hivyo
Ukienda kwenye zao la vizazi kule Niombe, nako hivyo hivyo
Ili upate faida nyingi, wengi wameamua kununua kwa njia ya Kangomba
Hii kidogo inakula faida, japo unatakiwa kuwa makini
Soon mkuu.Wiki hii nimekuwa busy kidogo, japo utakaponitumia ujumbe nitaona Mkuu
Mkuu Grahams wochaut.Nimekuelewa ila nahitaj ufafanuzi zaid kama utojali naweza pata mawasiliano yako
Unajua biashara zote Duniani zimewahi kufanywa/zinafanywa na watu tofauti tofauti, kwahiyo ukiandika hapa, Kila mwenye uzoefu wake atasaidia kushea hapa na itakuwa funzo kwa watakaokuja baada yetu miaka 50 ijayo kuweza kujifunzaNimekuelewa ila nahitaj ufafanuzi zaid kama utojali naweza pata mawasiliano yako
🙏🙏Soon mkuu.
Unajua biashara zote Duniani zimewahi kufanywa/zinafanywa na watu tofauti tofauti, kwahiyo ukiandika hapa, Kila mwenye uzoefu wake atasaidia kushea hapa na itakuwa funzo kwa watakaokuja baada yetu miaka 50 ijayo kuweza kujifunza
Matajiri wengi wa Kihindi, wamewahi/wanafanya biashara ya mazao
Nimewahi kufika kiwanda alichokuwa anamiliki marehemu Manji pale Kipawa
Wenzetu wametutangulia kwenye kuyapa thamani mazao yetu na kuyauza nje ya Nchi kwa thamani mara nne ama 5 ya hela aliyonunulia
Na formula yao ni ile Ile, usiweke mayai yote kwenye Kapu moja
Hiyo ilikuwa ni miaka 15 hivi iliyopita
Haina shida MkuuAsante sana naweza kusogea PM yako mkuu tukateta zaidi kama utojali