Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
- Thread starter
- #161
Sawamku, sitetei.Wapo wengi mno acha kutetea uovu
U bera woch yua bak!
Sawamku, sitetei.Wapo wengi mno acha kutetea uovu
Kweli wewe mwenyeji, kangomba hii tunapigaHahaha kwani ghala limefunguliwa kabla ya mwezi wa 10 mkuu? mambo ya kangomba hayo.
Kangomba imenishinda aisee bei zipo juu mno nilikuwa na vituo mdimba na mambamba na namkomolela aisee nimefuata pesa zangu jana wanunuzi ni wengi mno na bei imenitisha 2400 hadi 2500Kweli wewe mwenyeji, kangomba hii tunapiga
Bei hiyo sio rafiki, lengo la kangomba mnunuzi upate faidaKangomba imenishinda aisee bei zipo juu mno nilikuwa na vituo mdimba na mambamba na namkomolela aisee nimefuata pesa zangu jana wanunuzi ni wengi mno na bei imenitisha 2400 hadi 2500
inaitwa kula maua....bila shaka ulikopesha sh 1000 kwa kiloBei hiyo sio rafiki, lengo la kangomba mnunuzi upate faida
Lakini kwa hizo bei, unaweza jikuta wewe ndiyo inakula kwako
Mimi niliwakopesha hela kwa korosho, kwaajili ya maandalizi ya kulima, kwahiyo hapa nakusanya mzigo wangu kadri nilivyokopesha
Tafuta ekari kadhaa uwe unalima lima pia
Ilikuwa 1,200 kwa kiloinaitwa kula maua....bila shaka ulikopesha sh 1000 kwa kilo
Mkuu mimi nimezaliwa huku kwenye korosho newala kwahiyo nina mashamba Kibao na ninaendelea kuyanunua hili ndilo zao langu kuuIlikuwa 1,200 kwa kilo
Sio haba ikitokea bei ikapanda hadi 2,800 kwa kilo, manake nitaingiza sio chini ya 1,400 kama faida baada ya kutoa makato yao
Hongera sana Mkuu, kama una mtaji fungua kiwanda kidogo uwe unabangua na kuuza roastedMkuu mimi nimezaliwa huku kwenye korosho newala kwahiyo nina mashamba Kibao na ninaendelea kuyanunua hili ndilo zao langu kuu
Acha wivu wa kike na wewe weka kabila lakoAkili mgando hii
Mji kama dar? Kwasababu mimi nipo huku kusini tu napiga mishe masasi na biashara hiyo sio kubwa sana...labda unipe mwanga zaidi kuhusu hilo mkuuHongera sana Mkuu, kama una mtaji fungua kiwanda kidogo uwe unabangua na kuuza roasted
Ukiwa mjini, hizo roasted zinauzwa ghali sana
Ndiyo Mkuu, mji wa DSM lakini nafikiri hadi majiji mengine kama Arusha wanaweza kuwa na wateja wazuriMji kama dar? Kwasababu mimi nipo huku kusini tu napiga mishe masasi na biashara hiyo sio kubwa sana...labda unipe mwanga zaidi kuhusu hilo mkuu
Leo huku wananunua 15000 mtaaaniNdiyo Mkuu, mji wa DSM lakini nafikiri hadi majiji mengine kama Arusha wanaweza kuwa na wateja wazuri
Ukienda supermarket hapa mjini, nusu ya hizo roasted wanauza 20,000 na wengine 15,000
Kwahiyo ni suala la kuongeza thamani tu ya bidhaa yako
Nilivyosoma tu "wamesambaa dunia nzima kuliko wachina" nimeacha kusoma, kumbe mwehu mlevi amevamia jukwaaWachaga ni kabila la wajanja na watu wenye udhubutu, wajanja, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.
Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima EVerest ni Mchaga Wilfredy Moshi, Mangi Marialle ndio aliona aombe Uhuru wa Chagga land toka kwa Mwingereza, miaka ya 1950.
Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.
Achaneni na "duka la Mangi" ni muda sasa wa kupambana na madini, badilikeni hayo mauka acheni kwa watu wa porini huko.
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?
Nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
Kwa kilo moja eeh?Leo huku wananunua 15000 mtaaani
Ndio kwa kilo..kuna vijana wanakuwa kwenye pikipiki na spika zao na mizani ndio wananunua hizo korosho zilizobanguliwa kwa bei ya 15000 ila bila shaka bei imeanza kupungua kwasababu siku 5 nyuma bei ilikuwa 17500 kwa kiloKwa kilo moja eeh?
Huko madini ni mengi sana?Waje tu usukumani huku ila wasiwe wezi tu.
Huku tunapenda kuishi kwa aman
Hata kwa hiyo 17,500/Kg bado ilikuwa inawalipaNdio kwa kilo..kuna vijana wanakuwa kwenye pikipiki na spika zao na mizani ndio wananunua hizo korosho zilizobanguliwa kwa bei ya 15000 ila bila shaka bei imeanza kupungua kwasababu siku 5 nyuma bei ilikuwa 17500 kwa kilo
mbona wapo wa kutosha sema hawanaga mbwembwe zile za kishamba tenaWachaga ni kabila la wajanja na watu wenye udhubutu, wajanja, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.
Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima EVerest ni Mchaga Wilfredy Moshi, Mangi Marialle ndio aliona aombe Uhuru wa Chagga land toka kwa Mwingereza, miaka ya 1950.
Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.
Achaneni na "duka la Mangi" ni muda sasa wa kupambana na madini, badilikeni hayo mauka acheni kwa watu wa porini huko.
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?
Nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
Vipi mahitaji yake ni makubwa sana kwenye hiyo miji ?Hata kwa hiyo 17,500/Kg bado ilikuwa inawalipa
Maana wao wanauza 30,000 kwa kilo, which means wanaingiza 12,500 kwa kilo kabla ya gharama za uendeshaji