Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Mchagga anajua KUUZA BAR, KITIMOTO na MADUKA.

Umewahi kumuona Mchagga kwenye KAZI kama UVUVI, KILIMO na MADINI??

Kwasbaabu Wakoloni waliwapa elimu zamani, mkaitumia kupata NAFASI za serikali na kujipendelea, hizo zama zimekwisha.

Siku hizi mpaka MASAI amekwenda SHULE na anaijua PESA.
Labda uvuvi, sijawaona ila huko kwingine wapo.
 
Wachaga walitawala wakati ule kwasababu makabila mengi yalilala wakati huo wao walikuwa na mwanga,Ila kwasasa makabila mengi yashazinduka ndio maana msukuma makonda ambae ni kilaza anawatawala huko arusha.....vitoto vyao vinavyovuta bangi ambao makonda aliwaita vidudu halafu vyenyewe vinashangilia saivi wamegeukia ushoga ndio maana humu wachaga wengi wanampinga mno mamba na slogan yake ya LINDA MGONGO WAKO HALI NI MBAYA....kiukweli wachaga ile dhambi ya wizi na dhulma za wazazi wao saivi imewageukia watoto wao ndio wanalipia....mwaka jana tulikuwa arusha tukafika kijiwe kimoja tukawasalimia na kuwauliza ni wapi wananunua chuma Chakavu aiseee walicheka sana mpaka wengine wakaanguka chini kiukweli tulishangaa sana
 
Wachaga hiyo biashara wanaishindwa,kwa sababu biashara zao zote,zinategemea mikopo,na uchimbaji hakuna mikopo!
Zipo biashara mbili hatufanyi,
1/ Mifugo kutoa mikoani kuleta machinjioni,
2/ Kuchimba madini,sasa utawakuta kwenye u brokers!
Hata kama wapo basi niwachache sana!
 
Wachaga ni kabila la wajanja na watu wenye udhubutu, wajanja, ubunifu, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.

Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima EVerest ni Mchaga Wilfredy Moshi, Mangi Marialle ndio aliona aombe Uhuru wa Chagga land toka kwa Mwingereza, miaka ya 1950.

Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.

Achaneni na "duka la Mangi" ni muda sasa wa kupambana na madini, badilikeni hayo mauka acheni kwa watu wa porini huko.

Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?

Nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
sasa nani muuza karanga? nani chawa? nani omba omba? mnaleta mambo ya ukabila kwa misingi ipi? Je, na mkurya, Mmasai, Mhaya n.k wakijitokeza na kujikweza, Tanzania patakalika? Hebu tuacheni haya mambo ya kishamba... no wonder ni msomi mzima kabisa na mvi zako kichwani na sehemu za siri, ila unaongea pumba za ukabila. hopeless.
 
Wachaga we are blessed 🙏

Tuna spirit nenda kwenye elimu, pesa, biashara, akili nyingi

min -me
Hizo akili nyingi mnazipima vipi?
Nimesoma na wachaga
Ninafanya kazi na wachaga, mbona sioni kama wana hizo akili nyingi?

Ili nilienda kukagua taasisi fulani, nilishangaa kila anayetambulishwa ni mtu kutoka chini ya Mlima mrefuuu.
 
Mitaa yangu hiyo mkuu, last time tulikwama somanga pale usiku kucha, kiukweli issues zinazohusiana na mazao ni biashara nzuri sana.
Poleni na hongera Mkuu, ukiwa na mtaji kidogo unaweza kutoboa kwenye biashara ya mazao

Mfano saivi unapiga kangomba ya korosho, baada unakwenda Kamsamba kule unapiga kangomba ya mpunga

Huku unapiga kangomba ya ufuta pia

Ni mwendo wa kupiga hela tu
 
Poleni na hongera Mkuu, ukiwa na mtaji kidogo unaweza kutoboa kwenye biashara ya mazao

Mfano saivi unapiga kangomba ya korosho, baada unakwenda Kamsamba kule unapiga kangomba ya mpunga

Huku unapiga kangomba ya ufuta pia

Ni mwendo wa kupiga hela tu
Uniongezee madini mkuu naona utanifaa kwenye hizi ramani panapo majaaliwa ukiwa unaelekea 90th birthday mwakani uwe umeacha mwanafunzi, ufuta kule wanaita chomachoma sasa.
 
Uniongezee madini mkuu naona utanifaa kwenye hizi ramani panapo majaaliwa ukiwa unaelekea 90th birthday mwakani uwe umeacha mwanafunzi, ufuta kule wanaita chomachoma sasa.
Karibu Mkuu

Biashara ya mazao kama ulivyoelezea hapo juu, inahitaji timing

Ukiweza kucheza na timing, unaweza kufanya mwaka mzima kwa kuangalia mazao yanayozalishwa eneo husika na soko lake
 
Kaka Grahams samahani sana unaweza nipa mwongozo wa hayo uloyasema
Biashara ya mazao yanahitaji usiegemee zao moja pekee

Nimeshauri kama utakuwa na mtaji, kimbizana na fursa kadri ya upatikanaji zao na masoko yake

Msimu wa Ufuta, unaweza kwenda kununua ufuta na kuuza, ukija kwenye korosho pia hivyo hivyo

Ukienda kwenye zao la vizazi kule Niombe, nako hivyo hivyo

Ili upate faida nyingi, wengi wameamua kununua kwa njia ya Kangomba

Hii kidogo inakula faida, japo unatakiwa kuwa makini
 
Back
Top Bottom